Who?kama mtu unampenda si muaminiane tu based on love and trust.
Kuna haja gani ya kuishi na mtu and then kuanza kum-track kwenye simu, e-mails, GPS etc???????
kama mtu unampenda si muaminiane tu based on love and trust.
Kuna haja gani ya kuishi na mtu and then kuanza kum-track kwenye simu, e-mails, GPS etc???????
he! Kwakuwa mnampendana mizibe macho na masiko?kama mtu unampenda si muaminiane tu based on love and trust.
Kuna haja gani ya kuishi na mtu and then kuanza kum-track kwenye simu, e-mails, GPS etc???????
cheki software iitwayo wavesecureHivi kuna sehemu naweza pata Symbian3 free software ambayo itatuma taarifa kwa specific number in form of sms let say kila baada ya muda fulani? Hii ni security nzuri in case simu yako imeibiwa :coffee:
he! Kwakuwa mnampendana mizibe macho na masiko?
imekaa kiutapeli zaidi..............VIEW CONTACTS LIST
READ TEXT MESSAGES (SMS)
VIEW CALLS MADE / CALLS RECIEVED
SET THE TARGET PHONE TO CALL YOU WHENEVER IT MAKES OR RECEIVES A CALL
VIEW PHOTOS
MANY MORE FUNCTIONS
Tembelea hapa.
ULTIMATE MOBILE PHONE SPY 2009 PLATINUM EDITION
Unaonekana wewe unadhanispying phone ni kwa ajili ya wawili wapendanao tu.
Hope unaelewa neno "spy"
- waandishi wapelelzi wanatumia nyenzo kama hizi kudaka siri za viongozi na watu marufu
- Polisi wanaweza kutumia kufanya uchunguzi fulani forensic
- Vyombo vya usalama vinaweza kutumia mbinu huu kufutilia nyendo(Tracking) za watu amabo ni tishio kisiasa,kitaifa
Haya mambo ya spying communication ni zaidi ya mahusiano ya mapenzi.
- Hata wewe hapo unapofanya kazi unaweza kukuta sms unayoandika copy inakwenda sehemu fulani. Siku ukimwaga mboga na wao wanamwaga chakula. teh teh teh teh ( Kuna ofisiau kmapuni zina track mawasiliano eg simu na email ya wafanyakazi wao wakiwa ofisini)
imekaa kiutapeli zaidi..............
software zote genuine hutoa trial for a certain period of time or limited number of calls before purchasing for full operating features..sasa hao wanataka mshiko tu! how can you prove that it is working...worse enough wanasema kwa kila aina ya simu...mmhh hata nokia tochi au mchina? i doubt
Uko sahii hawa ni wasanii wa kuiba credit card info za watu.
This mobile spy seems functional, is it like a keylogger for computer? I'm not familiar with software, but what you said attracts me.VIEW CONTACTS LIST READ TEXT MESSAGES (SMS) VIEW CALLS MADE / CALLS RECIEVED SET THE TARGET PHONE TO CALL YOU WHENEVER IT MAKES OR RECEIVES A CALL VIEW PHOTOS MANY MORE FUNCTIONS Tembelea hapa.