Mobile No has won $1,000,000

Mwl.RCT

Platinum Member
Joined
Apr 5, 2009
Posts
15,795
Reaction score
22,767
​

  • Je hii namba 0682 895 839 ni ya mtandao gani Tanzania?

  • Je mmiliki wake naweza kumjua vipi?

  • Je watu kama hawa (matapeli) hatua gani huchukuliwa (na kampuni ya simu husika; au TCRA) kama fundisho kwa wengine?

  • Je hizi namba za simu za wateja (wa makampuni ya simu) wanazipata vipi? mfano hii namba yangu ni maalumu kwa modem tu kwa zaidi ya miaka miwili haijawahi kutumika hata kutuma sms, ameipataje?.
Nasawsilisha
 

Attachments

  • 19-08-2013 10-38-20 4jf1.jpg
    69.1 KB · Views: 70
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…