Ooyooo haya ndo maendeleo yetu tena bila hii kitu hata kwenye ujenzi wa taifa huwa wachovu wa kwenda na huu ubunifu naona hata huko uchina na japani bado kufika ni hapa bongo na huwenda viwanda vya pombe vikazidi kujengwa kwa mtindo huu wa bar za mitaani na mwisho letakuwa taifa la walevi tuu