Heshima kwenu!
Mimi ni machinga nahitaji msaada wa jukwaa hili kama itawezekana. Nahitaji mtu mwenye uwezo wa kudevelop mobile application kama ya Citizen Tv ya Kenya au KTN anitafute tuone namna ya kusaidiana.
Kifupi ni kwamba nahitaji mobile application yenye uwezo wa ku broadcast TV bila vimbwanga viiingi!
Kwa mwenye uwezo tutafutane inbox!