Mobile App

Mobile App

AmbaB

Member
Joined
Sep 1, 2016
Posts
51
Reaction score
27
Jaman naomba mtu anaye weza kunisaidia jinsi wanavyotengeneza App za simu...hasa social application...ikakaa kwenye android app watu wakaidownload ...mfano...millardayo app..mtembez nk

Naomba msaada wenu...ikiwezekaa kama ww ni mhusika moja kwa moja ama unamjua mtaalamu nichek 0717498761,for business.
 
Unamlipa mtaalamu anakutengenezea.
 
Jaman naomba mtu anaye weza kunisaidia jinsi wanavyotengeneza App za simu...hasa social application...ikakaa kwenye android app watu wakaidownload ...mfano...millardayo app..mtembez nk

Naomba msaada wenu...ikiwezekaa kama ww ni mhusika moja kwa moja ama unamjua mtaalamu nichek 0717498761,for business.
kama uko committed unaweza japo sio kazi rahisi na sio kazi overnight ikiwa unataka kubuild something from the scratch

unaweza ajiri mtu au ukatengeneza kwa kutumia shortcuts
 
Nipo hapa mtaalamu wa application mfano unaweza kucheki hii huko playstore BONGO YETU BLOG nitakutengenezea Kwa bei poa kabisa 0687535650
 
Back
Top Bottom