Mob Justice: Does this mark the failure on Criminal Justice in Tanzania? [Onyo 'Graph | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mob Justice: Does this mark the failure on Criminal Justice in Tanzania? [Onyo 'Graph

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Shadow, Aug 17, 2010.

 1. Shadow

  Shadow JF-Expert Member

  #1
  Aug 17, 2010
  Joined: May 19, 2008
  Messages: 2,908
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  :frusty:Mob Justice: Does this mark the failure on Criminal Justice in Tanzania? [ Onyo 'Graphic Photos]


  Does Lynching methodology paint grey areas on the matter of losing hope in our criminal justice in Tanzania?  Tuesday, August 17, 2010

  [​IMG]Kutona hasira za watu hao walioamua kujichukulia sheria mkononi,sidhani kama alipona kwani baadaye walitokea mgambo wa jiji na kumuokoa, Wakati wakielekea katika kituo cha Polisi cha Karume Kibaka huyo alianguka na kupoteza fahamu kwani alikuwa akitokwa na damu nyingi kichwani.

  [​IMG]Mmoja wa wananchi mwenye hasira kali akimponda na tofari Kibaka ambaye jina lake halikujulikana mara moja baada ya kudaiwa kumkwapua abiria mmoja aliyekuwa ndani ya gari akisafiri kuelekea Mwenge akiwa ametokea Tandika.Kibaka huyo inadaiwa alimkwapua simu abiria huyo na kukimbilia katika eneo la makaburi yaliyopo Karume na ndipo lilipoibuka kundi la Watu na kuanza kumfukuza na hatimaye kufanikiwa kumkamata na kuanza kumshushia kibano cha nguvu kama uonavyo pichani.Blog ya Jiachie inalaani na itazidi kulaani matukio kama haya,ambayo baadhi ya watu wamekuwa wakijichukulia sheria mkononi na kupoteza uhai wa wenzao kirahisi hivi,ilhali sheria zipo.Mungu Ibariki Afrika,Mungu Ibariki Tanzania. [SOURCE; mICHUZI JR]
   
 2. Shadow

  Shadow JF-Expert Member

  #2
  Aug 17, 2010
  Joined: May 19, 2008
  Messages: 2,908
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Any comment?
   
 3. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #3
  Aug 17, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,458
  Likes Received: 5,844
  Trophy Points: 280
  It takes hours for the POLICE to repsond......it takes months for the PROSECUTOR to charge....it take years for the JUDGE to make the ruling
   
 4. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #4
  Aug 17, 2010
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,042
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  justice katika mfumo wake ni bora kuchukua sheria mkononi! kwani utaratibu wa kupata haki ni mgumu , sijui kama utaratibu huu ni kwa tanzania pekee au ndivyo sheria ilivyo!.......naomba ninukuu mameno ya S-N-S
  It takes hours for the POLICE to repsond......it takes months for the PROSECUTOR to charge....it take years for the JUDGE to make the ruling
   
 5. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #5
  Aug 22, 2010
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,194
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 160
  If this be the case why then should petty crimanals be subject to mob justice. Ni kwa nini watu wa white collar crimes pamoja na wingi wa hela wanazochukua wanaonekana heros na heroines katika jamii yetu na mtu anayeiba kuku, kioo cha gari nakadhalika ndo anapokea kipigo mpaka anakufa.

  Mimi nadhani mob justice ni sababu ya umaskini ( financially ) maskini akiibiwa anakuwa na hasira sana kuliko tajiri akiibiwa.
   
 6. b

  bitimkongwe JF-Expert Member

  #6
  Aug 23, 2010
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 3,034
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 160
  Bwana Ngambo Ngali hawa vibaka wanawaibia walalahoi wenzao ambao nao jasho limetoka jingi ili kuweza kumiliki hicho kijisimu au ki tv. Lakini wa while collar huwa wanamwibia jitu linaloitwa Serikali ambalo lina mafedha mengi kwa hivyo hata mtu akidokoa kidogo bado huwa hajui.
   
 7. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #7
  Aug 24, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  White collar crimes are very complicated, it takes THREE DAYS to wire the money to an off-shore account, but it takes THREE YEARS to trace and discover that amount of money! [Refer Radar - (Chenge's) Case]. They involve influential figures, high tech, etc, It takes FIVE YEARS to prosecute them! Mob justice is not applicable here!
   
 8. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #8
  Aug 24, 2010
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,194
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 160
  Buchanan, nakubaliana na wewe. twende hatua moja mbele hao wanaopigwa mawe sio kwamba wamepatikana na hatia la hasha ni hisia kuwa ni wezi na bado wahukumiwa kutokana na hisia. Kwa nini na watu wa white collar crimes na wao wasihukumiwe kwa hisia na badala yake tunachekanao na kuwapamba kwa vyeo lukuki.

  Bado haiingii akilini, madhara wanayoleta watu wa white collar crimes ni makubwa kuliko ya vibaka.
   
 9. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #9
  Aug 24, 2010
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,194
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 160
  Binti mkongwe huyo mlalahoi ni sehemu ya serikali, na wanavyoibiwa wanajua wananchi wanajua juu ya EPA, Radar, meremeta etc na madhara yanawafikia upungufu wa dawa hoapitalini, barabara mbovu etc sasa kwa nini hawareact?
   
 10. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #10
  Aug 24, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,458
  Likes Received: 5,844
  Trophy Points: 280
  Mtani hebu tuongoze tukampige MAJIWE Chenge.....mimi ntakuwa wa kwanza ukinihakikikishia usalama wangu :becky::becky:
   
 11. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #11
  Aug 24, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Bwana Mzee nimesema kwamba masuala ya "wakubwa" yako complicated na watu hawa wana ushawishi mkubwa kwenye jamii, kwa hiyo hisia za ujinai za wananchi zinakuwa outweighed na ushawishi wao mkubwa walionao! Just imagine mlarushwa anatoa mabati kujenga shule, anatoa sadaka kubwakubwa kanisani/misikitini, etc, hivi kweli mtu kama huyu anaweza kupigwa mawe?
   
Loading...