Caffeine inayotumika kutengeneza enegry ikiwemo mo energy bei yake imepanda maradufu kwenye soko la dunia ndio maana A-one(melt) wametoa hiyo mo extra kama mbadala wa mo energy sahabu hii ya sasa haina caffeine... Ilikuwa either waendelee kuzalisha mo energy afu zije kuuzwa bei juu(nmesikia ingekuwa zaidi 1000Tshs) au watengeneze hiyo mo extra afu bei elekezi ibaki 500Tshs
Hivo ni suala la muda tu kama bei ya caffeine itabaki kuwa juu kama ilivo sasa basi tutalajie energy drinks zote(power ya sayona, turbo ya afya au afiya, power gold ya sippy, energy ya cocacola na energy ya azam) zinazozalishwa Tz nazo either zipande bei au nao waelekee kwenye mwelekeo wa mo extra ya A-one(melt)
Hao wengine wanaweza wakachukua muda kufuata muelekeo wa A-one sababu wanaweza wakawa bado wanamzigo mkubwa store au bado wana caffeine ya kutosha