Mo sajili wachezaji hawa kwa Simba SC

cutelove

JF-Expert Member
Oct 3, 2017
3,311
7,494
Kama Simba inataka ifanye vizuri na ibebe vikombe vya ndani na nje sajili hawa kama wewe mwanaume tajiri

Wanaoitwa na kucheza timu za Taifa za

Afrika

1,Senegal
2,Ivory Coast
3,Nigeria
4,Cameroon
5,Mali
6,Burkinafaso
7,Angola
8,Ghana
9,Morocco
10,Tunisia
11,Algeria
12,Libya
13,Egypt

America

1,Colombia
2,Ecuador
3,Chile
4,Argentina
5,Brazil
6,Paraguay

Asia

1,South Korea

Usajili tofauti na hapo ,hakuna tofauti ya waliopo na watakao kuja
 
Na hao watakapofika Tanzania ndio utakuwa mwisho wao kuichezea timu yake ya Taifa. Ili uweze kuchezea timu ya Taifa kwa wachezaji wa nchi hizo ni sharti kutocheza kanda fulani fulani ikiwemo Afrika Mashariki yetu.

Yaliyomkuta Didie Diara ni mfano tosha kwa wachezaji mengine. Morison angeendelea kuchezea ligi la South angelikuwa anaitwa timu ya taifa.
 
Kama Simba inataka ifanye vizuri na ibebe vikombe vya ndani na nje sajili hawa kama wewe mwanaume tajiri

Wanaoitwa na kucheza timu za Taifa za

Afrika

1,Senegal
2,Ivory Coast
3,Nigeria
4,Cameroon
5,Mali
6,Burkinafaso
7,Angola
8,Ghana
9,Morocco
10,Tunisia
11,Algeria
12,Libya
13,Egypt

America

1,Colombia
2,Ecuador
3,Chile
4,Argentina
5,Brazil
6,Paraguay

Asia

1,South Korea

Usajili tofauti na hapo ,hakuna tofauti ya waliopo na watakao kuja
tulikuwa hatujui bhana,

kwaiyo Mo " ni mwanamle? ebu tueleze vizur mkuu
 
Uyo ponjoro msimamizi wa mali za familia hawezi poteza pesa kihivyo
Kuendeleza mali za urithi si mchezo.Si ajabu mimi na wewe tumeshindwa ila yeye ameweza (na blacks wengi tunafeli sana eneo hilo).

Anastahili pongezi badala ya kejeli. Familia zote kubwa na tajiri duniani kama the Rockfellers au the Rothschilds wanaishi kwa kuendeleza mali za urithi. Sisi tunachoweza ni kuendeleza majungu na chain ya umasikini.
 
Wanao msema vibaya MO ni watu wasio wanamichezo.
MO kachangia kiasi kikubwa sana kwenye sekta ya Michezo hususan Mpira wa miguu.
Ndiye Mwekezaji wa kwanza katika fani ya Soka.

Humu wanao andika ni watu wenye uelewa tofauti.
 
Nakazia,well said
Kuendeleza mali za urithi si mchezo.Si ajabu mimi na wewe tumeshindwa ila yeye ameweza (na blacks wengi tunafeli sana eneo hilo).

Anastahili pongezi badala ya kejeli. Familia zote kubwa na tajiri duniani kama the Rockfellers au the Rothschilds wanaishi kwa kuendeleza mali za urithi. Sisi tunachoweza ni kuendeleza majungu na chain ya umasikini.
 
Uyo ponjoro msimamizi wa mali za familia hawezi poteza pesa kihivyo
Hili ndilo kosa la baba Kufa akiwa masikini wa kutupwa ukakosa urithi wa angalau hata kigoda. Kilichobaki ni chuki kwa matajiri utafikiri mo alimzuia babako kutafuta pesa .

Tafuta pesa ndg acha roho ya wivu , majungu , chuki na husuda zisizo na Maana kwa wenye pesa zao.
 
Pole aisee! Umeongea kwa uchungu mno, kosa sio lako
 
Kuwekeza kwenye mpira wa kitanzania hailipi na badala yake utapata hasara. Watanzania wengi ni maskini wa kutupwa hawawezi kufanya uwekezaji kwenye mpira ulipe.
 
Similar Discussions

4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom