MO na Halima Mdee, patachimbika Jimbo la Kawe!

Kwani Halima mwenyewe anasemaje? Atagombea tena jimbo hilo?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmmmmm tuseme unampenda sana au unamutishia?
 
Yanga tutashinda
 
Maccm hayanaga aibu. Yalimteka alafu eti yanamshawishi agombee ubunge
 
Mzee umepaniki ila ndio ujiandae kupata maumivu zaidi 2020.
 
Mzee umepaniki ila ndio ujiandae kupata maumivu zaidi 2020.
We jidanganye kama Lugola, hujui ya kesho kwenye siasa. We huna hofu ya 2020 lakini yule mwenye majeshi, polisi na vyombo vyote ana hofu kwa nini?
Ni kwa sababu wewe hujitambui na unapumbazwa na propaganda za kina Polepole. Ngoja jamaa wakomae na kupata tume huru ndio somo utalielewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Endelea kuota tu. Nani wa kusimamia tume huru? Hawa wa kuomba maridhiano kwa kujipendekeza? Hawa ambao mwenzao ametwangwa risasi wakaishia kutoa matamko tu ya kinafiki?

We subiri Bunge livunjwe ndio utawaelewa vizuri hao unaowaamini. Lazima waunge mkono juhudi kutetea matumbo yao.

Tupo hapa. Tutakumbushana!
 
Wafanya biashara wakubwa waligombea ubunge awamu ile ya nne ili kufanikisha "ujanja ujanja" wakibiashara!! Kwasasa hawana hamu maana maguu haangalii wewe ni nani ukizingua anakushukia chapu!!
 
Mbona kama umekuwa mwoga ghafla hivi? Subiri aingie ndio tutajua na sio kumtabiria makohozi yako hayo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
People don't need MO nor CCM rubbish, mnapoteza muda wenu bure

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Singida ilimshinda Kawe ataiweza?
 
Halima hakuwa mjinga mjinga kugombea Bawacha. Akikosa ubunge kawaida atapewa viti maalamu
 
Ujinga umeandika..unaonesha jinsi ulivyo kilaza. Kwani Halima anakusanya kodi.
 
Kwani wapiga kula wa JIMBO LA KAWE ni Management ya Simba mpaka uwe na uhakika watampa kura Mudy?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…