Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,216
- 113,519
Hela zenu?, Kila kitu kimekuwa chako sasa. Kwanini hutaki kujitengenezea mwenyewe mpaka unasubiri World Vision?
Ajitengenezee mwenyewe? Ubavu huo anao? Angekuwa anao wala asingesema hivyo
Hela zenu?, Kila kitu kimekuwa chako sasa. Kwanini hutaki kujitengenezea mwenyewe mpaka unasubiri World Vision?
Nimelipa kodi faithfully hivyo hizo hela alizopoka TTCL ni zetu/zangu!
Mchango wako ulikuwa kiasi gani?
Mkubwa tu, 'tax returns' zikija nitakua 'precise answer'!
'tax returns' za wapi? kuwa precise..
za precise society
precisely which "precise society"?