Haiishi tu Mo kuidai simba billions of shilings! Yeye na familia yake ndiyo wamiliki halali wa timu ya simba. Kama huamini muulize Mangungu.Thamani ya Simba ni mashabiki wake na nembo yake. Mashabiki na nembo ya Simba ni zaidi ya Tsh 500b. Hii thamani ndiyo iliyomfanya mo aachane na Singida United na kuja Simba.
Hela zoooooote alizotoa Mo kwa Simba zimetumika tayari kumtangaza mo, makampuni yake na bidhaa zake sokoni. Matangazo haya yame promote bidhaa zake zikauzika sokoni kama nyungu hadi akawa bilionea namba moja kijana Afrika. Simba imemtangaza mo hadi akajulikana ndani na nje ya nchi.
Simba haina deni lolote, sanasana inamdai mo na makampuni yake yaliyoimarika kutokana na kubebwa na Simba, na hii ndiyo iliyomfanya asiende kuzifadhili timu nyingine.
Hadai kitu, thamani ya Simba kumtangaza yeye, makampuni yake na bidhaa zake ni zaidi ya 100b. Wanachama na mashabiki wa simba wanavaa jezi za simba zenye chapa ya mo mpaka kwenye makalio yao, anajua thamani ya shabiki kuvaa jezi ya simba yenye mo foundation kwenye kalio?Kwani MO kapata pesa ngapi kutokana na matangazo Yake na Simba?, halafu Kila siku mbona MO anasema anaidai Simba, hivi hakuna mtu au wataalamu watakaopiga calculation namna gani MO kafaidika na Simba Kwa kiasi gani cha Pesa ili kuondoa kisingizio cha kudaiwa kama hoja ya kuepuka mzigo wa uwajibikaji?
Heri ya poengo kuliko jino bovu, aende zake tu tutapata kibopa mwingine. Mbona kule yanga aliondoka Manji kibopa na wakapata GSM kibopa mwingine?. Mbona GSM hakwenda kuidhamini Mbeya city?. Unaposhirikiana na Simba na yanga ujue kuwa unashirikiana na soko kubwa la watu 60m.Simba mnamajungu sana atawaachia mikia yenu aondoke muanze kupga myayo
Anadhani watanzania ni wajinga hawajui hesabu, uchumi na marketing. Mimi nanunua kwa pesa yangu jezi yenye nembo ya kampuni yake na bidhaa zaake jezi nzima mpaka sehemu ya kalio. Anajua thamani ya kuivaa jezi niliyoinunua mimi lakini imejaa biashara zake kila pahala?. Alipaswa angalau kutugawia bure mat-shirts hayo kama wanavyofanya Tanzania breweries na wengine.Haiishi tu Mo kuidai simba billions of shilings! Yeye na familia yake ndiyo wamiliki halali wa timu ya simba. Kama huamini muulize Mangungu.
Kaka ukiona nguchilo amesimama kwa miguu miwili anakutukana ujue yuko karibu na shimo lake. Simba wako karibu na shimo, siku hiyohiyo mo akibwaga manyanga, siku hiyohiyo matajiri wengine wanaichukua timu.Simba mnamajungu sana atawaachia mikia yenu aondoke muanze kupga myayo
Hebu niambie kwanini mtu anasema anaoata hasara lakini hatokì. Familia imeiandama simba utadhaniNijulikane kupitia mtu au kundi flani tukiwa kwenye mikataba mwisho wa siku mrudi kuniambia mnanidai kupitia kwenu.
Simba ni tibu kubwa tatizo viongozi wana ubinafsi sana. Kila mtu anavuta kwake pasipokujua matokeo yake yatakua hasi au chanya. Mwisho wa siku mambo yakiharibika lawama kwa MO bila kujua kwamba uongozi wao ni mwiba.
Pasipo kushirikiana na boss wako lazma mtafaruku uwepo. Simba kila mtu anajua kuongea ni kama yeye ndio alianzisha timu.
Simba punguzeni shobo, shirikianeni, shikaneni mikono, toeni miba ndani ya timu muijenge timu. Kaeni hapo na pesa zikiwa benki nyie sasa!
n kwa sababu hajafikisha target anayoitaka yeye kama yeye. Labda kuna mambo ya mkataba yanamfanya asiachie. Na pili hakuna cku tajir atasema mwaka huu nimepata faida nyng kwan wafanyakaz watadai labda kuongezewa mishahara na yeye labda hayupo tayar.Hebu niambie kwanini mtu anasema anaoata hasara lakini hatokì. Familia imeiandama simba utadhani
Mkuu Mopakn kwa sababu hajafikisha target anayoitaka yeye kama yeye. Labda kuna mambo ya mkataba yanamfanya asiachie. Na pili hakuna cku tajir atasema mwaka huu nimepata faida nyng kwan wafanyakaz watadai labda kuongezewa mishahara na yeye labda hayupo tayar.
yes sir. Pesa ziko benkiMkuu Mopak
Nimekuona plzyes sir. Pesa ziko benki
umeniona wapi bro ebu niambie boss wanguNimekuona plz
Pm Mkuu check ulivyosemaumeniona wapi bro ebu niambie boss wangu