MO Dewji: Tuzo ya goli bora la CAF 2022 limeleta heshima ya kipekee kwa Simba SC na Tanzania

Mheshimu Mayele boss maana alifunga magoli mawili ya staili hiyo na moja likawa goli Bora NBC premier league. Sakho apongezwe kwa kushinda tuzo kubwa Africa lakini haina maana ya kumdharau Mayele.
Mkuu, wala si Mayele tu hata Ghushi wa Yanga amefunga bao kama hilo, ila sasa inatengemea unafunga wapi..!

Sakho amefunga kwenye michuano ya Kimataifa ya CAF ndo kinachotofautiana.

Ila hapo kwa Mayele kuhusu Ng'ombe ni utani tu wa Jadi..!
 
Back
Top Bottom