Acrobatic ni goli matata sana huwa huwezi kushindanisha mabao mengine.Hongera sana kwake.
Alistahili, magoli ya hivyo ni machache sana
Usajili unaendelea mkuu, Mhilu kuna tetesi tayari amerejea kwa mkopo kunako timu yake Kagera SugarMi mwenyewe ninefurahi sana...
Msimu huu tukaze zaidi
Ila
Kagere
Mugalu
Mhilu
Hapana aiseee
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Msumari mkali kwa juma Lokole wa JF DemigodUnaweza kufunga mabao mengi ukapewa Ng'ombe demigod
Lakini unaweza kufunga bao moja tu ukapewa Tuzo, ukaheshimisha klabu na nchi.
Kulitaka Mwana Kulipewa Mwana
Pettymagambo View attachment 2299599
Ataishia kuwafunga Mtibwa tu kwani wataishia hatua za awali tena watapigwa nje ndaniNgoja tuone Mayele nae huenda akatetema kwa kuweka goli matata kama hilo la Sakho
Hajasusa ushabiki.Hivi ile kauli ya kuwa Bosi MO amesusa bado ipo au mmeipumzisha kwanza Joseverest
Mheshimu Mayele boss maana alifunga magoli mawili ya staili hiyo na moja likawa goli Bora NBC premier league. Sakho apongezwe kwa kushinda tuzo kubwa Africa lakini haina maana ya kumdharau Mayele.Unaweza kufunga mabao mengi ukapewa Ng'ombe demigod
Lakini unaweza kufunga bao moja tu ukapewa Tuzo, ukaheshimisha klabu na nchi.
Kulitaka Mwana Kulipewa Mwana
Pettymagambo View attachment 2299599