Tajiri kwa kulalamika huyuMO: SIMBA INANIIGIZIA HASARA,KAMA SIO SIMBA NINGEKUWA NA NDEGE.
“Simba ni klabu ambayo nimeipenda tangu nikiwa mdogo, naipenda Simba kutoka moyoni, mechi ya juzi tulipofungwa na Raja nimekaa kwenye Gari nimelia"
“Nimewekeza kwenye Simba sio kwaajili ya pesa huu ni mwaka wa sita, tumekubaliana ni Bil. 20 lakini tukifanya mahesabu imefika labda Bil. 50 ambazo nimewekeza, kama nngependa raha au kitu kingine Bil 50 ningenunua hata ndege,”
“Ukiniambia Simba ni Biashara kwangu Hapana, Simba ni Hasara kwangu ndiyo, Simba kifedha inanipa hasara, Kuna wafadhili wengi sana ambao wamekuja na wamepita wengi wao wamefilisika Kutokana na kuwekeza au kufadhili Simba
RAIS wa Heshima na Mwekezaji wa Simba, MOHAMMED DEWJI.
Source @futbalplanet_ [emoji1241]
NB acheni kumwingiza hasara mudiView attachment 2562675
[emoji3][emoji3][emoji3]Muhindi anafilisika huku
Mo kila akiona mzigo umeingia kwenye timu anaanza malalamiko
Kuna Level ukishafikia huwezi kufilisika Tena. Hapo ndo alipofikia MoMuhindi anafilisika huku
Mo kila akiona mzigo umeingia kwenye timu anaanza malalamiko
Asitoe la moyoniMO: SIMBA INANIIGIZIA HASARA,KAMA SIO SIMBA NINGEKUWA NA NDEGE.
“Simba ni klabu ambayo nimeipenda tangu nikiwa mdogo, naipenda Simba kutoka moyoni, mechi ya juzi tulipofungwa na Raja nimekaa kwenye Gari nimelia"
“Nimewekeza kwenye Simba sio kwaajili ya pesa huu ni mwaka wa sita, tumekubaliana ni Bil. 20 lakini tukifanya mahesabu imefika labda Bil. 50 ambazo nimewekeza, kama nngependa raha au kitu kingine Bil 50 ningenunua hata ndege,”
“Ukiniambia Simba ni Biashara kwangu Hapana, Simba ni Hasara kwangu ndiyo, Simba kifedha inanipa hasara, Kuna wafadhili wengi sana ambao wamekuja na wamepita wengi wao wamefilisika Kutokana na kuwekeza au kufadhili Simba
RAIS wa Heshima na Mwekezaji wa Simba, MOHAMMED DEWJI.
Source @futbalplanet_ [emoji1241]
NB acheni kumwingiza hasara mudiView attachment 2562675
Akiona anapata hasara auze baadhi ya hisa ili wachangie na wengine.Japo najua sio rahisi kuendesha Simba na Yanga na ni kweli wanajitoa sana ila haya maneno sio mazuri kuyatamka
Ye alichukua Simba aiendeshe kibiashara apate faida kama hapati asianze kusimanga poor Mudi biriani
Huwa nawaambia kila siku humu kuwa pesa za (Muhindi) Kanje Bai ni ngumu sana ila Watu hukaza mafuvu, haya sasa mwenye mali kafunguka.Japo najua sio rahisi kuendesha Simba na Yanga na ni kweli wanajitoa sana ila haya maneno sio mazuri kuyatamka
Ye alichukua Simba aiendeshe kibiashara apate faida kama hapati asianze kusimanga poor Mudi biriani
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kanjibai mzigo umeingia analeta zengweMO: SIMBA INANIIGIZIA HASARA, KAMA SIO SIMBA NINGEKUWA NA NDEGE.
“Simba ni klabu ambayo nimeipenda tangu nikiwa mdogo, naipenda Simba kutoka moyoni, mechi ya juzi tulipofungwa na Raja nimekaa kwenye Gari nimelia"
“Nimewekeza kwenye Simba sio kwaajili ya pesa huu ni mwaka wa sita, tumekubaliana ni Bil. 20 lakini tukifanya mahesabu imefika labda Bil. 50 ambazo nimewekeza, kama nngependa raha au kitu kingine Bil 50 ningenunua hata ndege,”
“Ukiniambia Simba ni Biashara kwangu Hapana, Simba ni Hasara kwangu ndiyo, Simba kifedha inanipa hasara, Kuna wafadhili wengi sana ambao wamekuja na wamepita wengi wao wamefilisika Kutokana na kuwekeza au kufadhili Simba
RAIS wa Heshima na Mwekezaji wa Simba, MOHAMMED DEWJI.
Source @futbalplanet_ [emoji1241]
NB acheni kumwingiza hasara Mo
View attachment 2562675
Hivi huyo Mo, yale mabango ya kwenye jezi hadi makalioni huwa ni kwa ajili ya Simba eti?. Mimi siwaelewi Hawa matajiri wanazitumia hizi timu kutangaza biashara zao hilo hawalisemi, halafu baadae wanakuja kulalamika. Kama hailipi ondoka.MO: SIMBA INANIIGIZIA HASARA, KAMA SIO SIMBA NINGEKUWA NA NDEGE.