Mo Dewji: Bilionea namba moja Africa Mashariki na namba 13 Africa

Wale wanaojigamba kwa ukubwa wa uchumi waje wamwage mapovu yao hapa.
Simba the next level
===
Afrika yajivunia mabilionea 18 utajiri wao wote kwa ujumla ukiwa dola bilioni 74, kulingana orodha mpya iliyotolewa na jarida mambo ya kibiashara na utajiri la Forbes.

Kwa mujibu wa orodho iliyotolewa jana Jumanne, Aliko Dangote wa Nigeria anaendelea kuongoza kwa utajiri kwa mwaka wa 10 mfululizo huku utajiri wake ukiwa dola bilioni 11.6. Hata hivyo, Dangote ni wa 190 katika orodha ya matajiri wa dunia nzima.

Barani Afrika, Dangote alifuatwa na Nassef Sawiris wa Misri utajiri wake ukiwa ni dola bilioni 8.5, Nicky Oppenheimer wa Afrika Kusini akiwa na utajiri wa dola bilioni 8, Johann Rupert wa Afrika Kusini akiwa na dola bilioni 7.2 huku Mike Adenuga wa Nigeria thamani yake ikiwa ni dola bilioni 6.3.

Kwa upande wa Afrika Mashariki, Mtanzania Mohammed Dewji pekee ndiye aliyeingia katika orodha hiyo.

Ingawa idadi ya matajiri hao katika jarida la Forbes iliongezeka kote duniani huku ikiweka rekodi kwa kuongeza watu wapya 493, idadi ya mabilionea wa Afrika ilipungua kidogo ikilinganishwa na mwaka 2020 ilipokuwa 20.

Mabilionea 18 wa Afrika wanatoka mataifa mbalimbali kama vile Afrika Kusini na Misri zikiwa na matajiri watano kila mmoja, Nigeria ikiwa na matajiri watatu, Morocco matajiri wawili, Zimbambwe, Tanzania na Algeria wakiwa na tajiri mmoja kila mmoja.

Orodha kamili ya mabilionea wa Afrika kwa mujibu wa Forbes
Dangote ameendelea kuwa mtu tajiri zaidi barani Afrika kwa mwaka wa 10 mfululizo
1. Aliko Dangote - Nigeria - ana thamani ya $11.6b

2. Nassef Sawiris - Misri - ana thamani ya $8.5b

3. Nicky Oppenheimer - Afrika Kusini - thamani ya $8b

4. Johann Rupert - Afrika Kusini - ana thamani ya $7.2b

5. Mike Adenuga - Nigeria - ana thamani ya $6.3b

6. Abdulsamad Rabiu - Nigeria - ana thamani ya $ 5.5b

7. Issad Rebrad - Algeria - ana thamani ya $4.8b

8. Naguib Sawiris - Misri - ana thamani ya $3.2b

9. Patrice Motsepe - Afrika Kusini - ana thamani ya $ 3b

10. Koos Bekker - Afrika Kusini - ana thamani ya $2.8b

11. Mohamed Mansour - Misri - $2.5b

12. Aziz Akhannouch - Morocco - $2.0b

13. Mohammed Dewji - Tanzania - $1.6b

14. Youssef Mansour - Misri - $1.5b

15. Othman Benjeloun - Morocco - $1.3b

16. Michiel Le Roux - Afrika Kusini - $1.2b

17. Strive Masiyiwa - Zimbabwe - $1.2b

18. Yaseen Mansour - Misri - $1.1b

CHANZO: BBC SWAHILI
Misri, Nigeria na SA ndio wana billionaires wengi.
 
Sasa wacha nikutukane ili ujulikane zaidi, peleka nyege zako na mihemko Kunyaland, nani alikwambia top 10 ya matajiri Tanzania hakuna mwafrika mweusi leta kuthibitisho au unapayuka tu kwasababu mdomo unao no research no right to speak weka iyo data yako uchekwe kima ww. Nadhani side effect ya covid-19 inakuzingua kapime tena
Badala ya matusi, tutajie tu huyo mtu mweusi tutanyamaza.
 
Bilionea anaelipa watu wenye degree laki 3, upuuzi mtupu!!! To me hes just a fool and a vampire who sucks blood (life)out of ppl
Fikiria Speaker wenu eti ana degree!!!bashte ana degree,polepole ana degree,sabaya ana degree,mataga wana degree ulitaka walipwe nn?
 
Kuna tatizo la ajira nchini na sio kama hufahamu. Watu wako desperate ila haina maana mtu ajinufaishe yeye tu wakati wengine wanaumia. Viongozi wenu ndo wako na kusema watz maskini na kusapoti ujinga wa wamachinga. Sijui wamachinga wafanye wanavotaka, na raisi wa ruhsa anasimama mbele ya umati anamsifia jpm amewanyanyua wamachinga na miwananchi inashangilia. Ajabu sasa wananchi wanatembea barabarani na kupishana na magari sababu pavement zote zina wwamachinga.Migomo sokoni kila siku sababu wafanyabiashara wanalalamika wao wanalipa vitalu sijui wamachinga anapanga nje ya soko. Ukienda stendi adha tupu wauza vitu wananuka kwapa bidhaa kila sehemu hamna utaratibu toka unashuka basi au boda kuelekea stend ni kelele tu dada/kaka ticket hapa yani adha adha adha. Halafu wewe mwanachi unaongea ujinga huo. Hakuna nchi duniani iloendelea kwa kuweka informal business mbele sijui wamachinga na ujinga mwengine. Wao viongozi mbona hawapandani mabasi au kwenda kariakoo nk. Wanakaa ofisini wanaongeza tu eti jina likiwa langu wamachinga wasinyanyswe wao. Nani kwani. Mungu watu! Hawafi! Linasimama chamalila sijui eti rais hafi alaf huyu ndo RC! Tajiri anaumiza watu ndo kwanza mnamtetea! Ukapata scandal mpaka Indian embassy akaizima fasta nyie mnachekelea tu!
Kwani una shida gani na wamachinga mkuu, eti unasema hakuna nchi iliyoendelea kwa kuwapa wamachinga priority, afu unajikuta msoomi.
 
Kwani una shida gani na wamachinga mkuu, eti unasema hakuna nchi iliyoendelea kwa kuwapa wamachinga priority, afu unajikuta msoomi.
Wanaboa na kuharibu muonekano wa jiji, wanaleta tafrani watu wanatembea barabarani kariokoo na kuhatarisha maisha ya watu, au hujafika kkoo ukaona hali na ww ndo wale mnatwmbea na vieiti na kufanya shopping Mlimani na SA
 
Mimi ni staunch middle class and still going up na sijajigamba na utajiri wa muhindi kama nyie.
Hahaha nyie si mnatupigiaga kelele na mali za hao mabwana zenu wanaowachumisha sukuma huko mombasa leo yamekua hayo.......kweli dawa imeingia
 
Bilionea anaelipa watu wenye degree laki 3, upuuzi mtupu!!! To me hes just a fool and a vampire who sucks blood (life)out of ppl
mkuu hajawalazimisha kama hawataki baasi waache kazi alafu wale degree zao au waje kuona masahibu ya mtaani na ya kujiajiri.
 
Orodha ya mabilionea 18 wa Afrika kwa mujibu wa Forbes.
Dangote ameendelea kuwa mtu tajiri zaidi barani Afrika kwa mwaka wa 10 mfululizo.
===

Afrika yajivunia mabilionea 18 utajiri wao wote kwa ujumla ukiwa dola bilioni 74, kulingana orodha mpya iliyotolewa na jarida mambo ya kibiashara na utajiri la Forbes.

Kwa mujibu wa orodho iliyotolewa jana Jumanne, Aliko Dangote wa Nigeria anaendelea kuongoza kwa utajiri kwa mwaka wa 10 mfululizo huku utajiri wake ukiwa dola bilioni 11.6. Hata hivyo, Dangote ni wa 190 katika orodha ya matajiri wa dunia nzima.

Barani Afrika, Dangote alifuatwa na Nassef Sawiris wa Misri utajiri wake ukiwa ni dola bilioni 8.5, Nicky Oppenheimer wa Afrika Kusini akiwa na utajiri wa dola bilioni 8, Johann Rupert wa Afrika Kusini akiwa na dola bilioni 7.2 huku Mike Adenuga wa Nigeria thamani yake ikiwa ni dola bilioni 6.3.

Kwa upande wa Afrika Mashariki, Mtanzania Mohammed Dewji pekee ndiye aliyeingia katika orodha hiyo.

Ingawa idadi ya matajiri hao katika jarida la Forbes iliongezeka kote duniani huku ikiweka rekodi kwa kuongeza watu wapya 493, idadi ya mabilionea wa Afrika ilipungua kidogo ikilinganishwa na mwaka 2020 ilipokuwa 20.

Mabilionea 18 wa Afrika wanatoka mataifa mbalimbali kama vile Afrika Kusini na Misri zikiwa na matajiri watano kila mmoja, Nigeria ikiwa na matajiri watatu, Morocco matajiri wawili, Zimbambwe, Tanzania na Algeria wakiwa na tajiri mmoja kila mmoja.

Orodha kamili ya mabilionea wa Afrika kwa mujibu wa Forbes
Dangote ameendelea kuwa mtu tajiri zaidi barani Afrika kwa mwaka wa 10 mfululizo
1. Aliko Dangote - Nigeria - ana thamani ya $11.6b

2. Nassef Sawiris - Misri - ana thamani ya $8.5b

3. Nicky Oppenheimer - Afrika Kusini - thamani ya $8b

4. Johann Rupert - Afrika Kusini - ana thamani ya $7.2b

5. Mike Adenuga - Nigeria - ana thamani ya $6.3b

6. Abdulsamad Rabiu - Nigeria - ana thamani ya $ 5.5b

7. Issad Rebrad - Algeria - ana thamani ya $4.8b

8. Naguib Sawiris - Misri - ana thamani ya $3.2b

9. Patrice Motsepe - Afrika Kusini - ana thamani ya $ 3b

10. Koos Bekker - Afrika Kusini - ana thamani ya $2.8b

11. Mohamed Mansour - Misri - $2.5b

12. Aziz Akhannouch - Morocco - $2.0b

13. Mohammed Dewji - Tanzania - $1.6b

14. Youssef Mansour - Misri - $1.5b

15. Othman Benjeloun - Morocco - $1.3b

16. Michiel Le Roux - Afrika Kusini - $1.2b

17. Strive Masiyiwa - Zimbabwe - $1.2b

18. Yaseen Mansour - Misri - $1.1b

CHANZO: BBC SWAHILI
Binafsi mi hua naona ni kama wanakipeleka au kuna namna ya kufanya ili mtu utambuliwe,lakini wako watu hata kwenye orodha ya nchi hawaoni isipokua wana pesa nyingi na vitega uchumi lukuki lakini wapo kimya tu
 
Hahaha nyie si mnatupigiaga kelele na mali za hao mabwana zenu wanaowachumisha sukuma huko mombasa leo yamekua hayo.......kweli dawa imeingia
Tunawapigia kelele kwa maendeleo ya nchi kama vile barabara, masomo, ubora wa maisha, life expectancy etc. Lakini haya ya kufungua uzi juu ya billionea Muhindi ama multi millionea muhindi hutatupata. Alafu kwenu ni worse maana matajiri wote ni Wahindi na Waarabu. Tunapoongea sahii, top ten richest men in Tanzania hamna Mwafrika mweusi hata mmoja. Hivi hamjionei huruma?
 
Back
Top Bottom