Mo Dewji: Bilionea namba moja Africa Mashariki na namba 13 Africa

Mabilionea wasiopenda kutajwa wapo, na wana assets ila wapo kimya kimya.

Africa ina bilionares wengi tu.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Km wao wenyewe na digrii zao wamejirahisisha unataka yeye afanye nin???
Kuna tatizo la ajira nchini na sio kama hufahamu. Watu wako desperate ila haina maana mtu ajinufaishe yeye tu wakati wengine wanaumia. Viongozi wenu ndo wako na kusema watz maskini na kusapoti ujinga wa wamachinga. Sijui wamachinga wafanye wanavotaka, na raisi wa ruhsa anasimama mbele ya umati anamsifia jpm amewanyanyua wamachinga na miwananchi inashangilia. Ajabu sasa wananchi wanatembea barabarani na kupishana na magari sababu pavement zote zina wwamachinga.Migomo sokoni kila siku sababu wafanyabiashara wanalalamika wao wanalipa vitalu sijui wamachinga anapanga nje ya soko. Ukienda stendi adha tupu wauza vitu wananuka kwapa bidhaa kila sehemu hamna utaratibu toka unashuka basi au boda kuelekea stend ni kelele tu dada/kaka ticket hapa yani adha adha adha. Halafu wewe mwanachi unaongea ujinga huo. Hakuna nchi duniani iloendelea kwa kuweka informal business mbele sijui wamachinga na ujinga mwengine. Wao viongozi mbona hawapandani mabasi au kwenda kariakoo nk. Wanakaa ofisini wanaongeza tu eti jina likiwa langu wamachinga wasinyanyswe wao. Nani kwani. Mungu watu! Hawafi! Linasimama chamalila sijui eti rais hafi alaf huyu ndo RC! Tajiri anaumiza watu ndo kwanza mnamtetea! Ukapata scandal mpaka Indian embassy akaizima fasta nyie mnachekelea tu!
 
Km wao wenyewe na digrii zao wamejirahisisha unataka yeye afanye nin???
Matajiri wenzetu wa west na Kenya sijui, wanajenga uchumi jumuishi na ndo mana kuna maisha mzuri na uchumi mzuri. Hawajigambi na na mambo ya ubilionea wala mavi ya bilionea. Lkn wao wana uchumi mzuri, kwenye job competitiveness hatuwawezi, mshahara wanaka mkubwa kuliko Sisi pamoja na kw na level moja ya elimu. Uchumi jumuishi, sio mmoja anajilimbikia Mimali wengine hohehae alaf tupo watz tunashangalia eti boss mo sijui. Timu onyewe anaitumia kwa maslah yake, yani ukiwa tajiri wtz wanakulamba matako na kuselfika juu na kuandika uzi za kijinga hapa
 
Kuna nchi inayooishinda Tanzania kwa uchumi jumuishi na maisha mazuri afrika?
 
Hehehe!! Tuliwaambia uchumi wenu huwa umeshikiliwa na Wahindi na Waarabu wachache, ndio wanamiliki 70% ya uchumi wa nchi huku Watanganyika weusi mkikusanyika Buza na kwingineko....hehehe si umesema povu ruksa.

Ukiangalia list ya top 10 wanaomiliki uchumi wa Tz, hakuna mweusi hata mmoja, alikuwepo Mengi ila sasa ni marehemu. Hivyo ukija kusifia utajiri wa hao wahindi ulijue hilo, najua hapa mtatiririka na zile blah blah zenu ohh hata Mhindi ni Mtanzania.
 
Ukiangalia list ya top 10 wanaomiliki uchumiwa Tz, hakuna mweusi hata mmoja, alikuwepo Mengi ila sasa ni marehemu. Hivyo ukija kusifia utajiri wa hao wahindi ulijue hilo, najua hapa mtatiririka na zile blah blah zenu ohh hata Mhindi ni Mtanzania.
nyie hata Wahindi koko wa Bidco au Sameer hawamo !
 
Wale wanaojigamba kwa ukubwa wa uchumi waje wamwage mapovu yao hapa.
Simba the next level
===
Afrika yajivunia mabilionea 18 utajiri wao wote kwa ujumla ukiwa dola bilioni 74, kulingana orodha mpya iliyotolewa na jarida mambo ya kibiashara na utajiri la Forbes.

Kwa mujibu wa orodho iliyotolewa jana Jumanne, Aliko Dangote wa Nigeria anaendelea kuongoza kwa utajiri kwa mwaka wa 10 mfululizo huku utajiri wake ukiwa dola bilioni 11.6. Hata hivyo, Dangote ni wa 190 katika orodha ya matajiri wa dunia nzima.

Barani Afrika, Dangote alifuatwa na Nassef Sawiris wa Misri utajiri wake ukiwa ni dola bilioni 8.5, Nicky Oppenheimer wa Afrika Kusini akiwa na utajiri wa dola bilioni 8, Johann Rupert wa Afrika Kusini akiwa na dola bilioni 7.2 huku Mike Adenuga wa Nigeria thamani yake ikiwa ni dola bilioni 6.3.

Kwa upande wa Afrika Mashariki, Mtanzania Mohammed Dewji pekee ndiye aliyeingia katika orodha hiyo.

Ingawa idadi ya matajiri hao katika jarida la Forbes iliongezeka kote duniani huku ikiweka rekodi kwa kuongeza watu wapya 493, idadi ya mabilionea wa Afrika ilipungua kidogo ikilinganishwa na mwaka 2020 ilipokuwa 20.

Mabilionea 18 wa Afrika wanatoka mataifa mbalimbali kama vile Afrika Kusini na Misri zikiwa na matajiri watano kila mmoja, Nigeria ikiwa na matajiri watatu, Morocco matajiri wawili, Zimbambwe, Tanzania na Algeria wakiwa na tajiri mmoja kila mmoja.

Orodha kamili ya mabilionea wa Afrika kwa mujibu wa Forbes
Dangote ameendelea kuwa mtu tajiri zaidi barani Afrika kwa mwaka wa 10 mfululizo
1. Aliko Dangote - Nigeria - ana thamani ya $11.6b

2. Nassef Sawiris - Misri - ana thamani ya $8.5b

3. Nicky Oppenheimer - Afrika Kusini - thamani ya $8b

4. Johann Rupert - Afrika Kusini - ana thamani ya $7.2b

5. Mike Adenuga - Nigeria - ana thamani ya $6.3b

6. Abdulsamad Rabiu - Nigeria - ana thamani ya $ 5.5b

7. Issad Rebrad - Algeria - ana thamani ya $4.8b

8. Naguib Sawiris - Misri - ana thamani ya $3.2b

9. Patrice Motsepe - Afrika Kusini - ana thamani ya $ 3b

10. Koos Bekker - Afrika Kusini - ana thamani ya $2.8b

11. Mohamed Mansour - Misri - $2.5b

12. Aziz Akhannouch - Morocco - $2.0b

13. Mohammed Dewji - Tanzania - $1.6b

14. Youssef Mansour - Misri - $1.5b

15. Othman Benjeloun - Morocco - $1.3b

16. Michiel Le Roux - Afrika Kusini - $1.2b

17. Strive Masiyiwa - Zimbabwe - $1.2b

18. Yaseen Mansour - Misri - $1.1b

CHANZO: BBC SWAHILI
WAISLAM wengi sana, biashara zetu halal.
 
Sasa wacha nikutukane ili ujulikane zaidi, peleka nyege zako na mihemko Kunyaland, nani alikwambia top 10 ya matajiri Tanzania hakuna mwafrika mweusi leta kuthibitisho au unapayuka tu kwasababu mdomo unao no research no right to speak weka iyo data yako uchekwe kima ww. Nadhani side effect ya covid-19 inakuzingua kapime tena
Hehehe!! Tuliwaambia uchumi wenu huwa umeshikiliwa na Wahindi na Waarabu wachache, ndio wanamiliki 70% ya uchumi wa nchi huku Watanganyika weusi mkikusanyika Buza na kwingineko....hehehe si umesema povu ruksa.

Ukiangalia list ya top 10 wanaomiliki uchumi wa Tz, hakuna mweusi hata mmoja, alikuwepo Mengi ila sasa ni marehemu. Hivyo ukija kusifia utajiri wa hao wahindi ulijue hilo, najua hapa mtatiririka na zile blah blah zenu ohh hata Mhindi ni Mtanzania.
 
Hivi top 20 richest people wote kutoka kwa Wahindi ambao ni less than 100,000 people in a country of 60 million sio ubaguzi? Wake up.

Tatizo lao kubwa ni uzembe na ndio maana wanaliwa sana, hao wahindi wamejichomeka humo na kujiita ndugu, unajua kwa Watz wanapenda sana hizo pumba za kuita ndugu, wanaita hadi Wachina ndugu na kuwakenulia meno. Hao Wahindi hautakuta hata mmoja kaoa mweusi, huwa wamejikusanya maeneo maalum kazi yao kuchuma tu na kuelekeza Bombay kwao.
 
Hivi top 20 richest people wote kutoka kwa Wahindi ambao ni less than 100,000 people in a country of 60 million sio ubaguzi? Wake up.
Wewe pia yafaa uamke maana sio billionaire wala millionaire, wala upper middle income earner uko uko tu kama hao wa buza
 
Back
Top Bottom