Mo Dewji ameikacha Simba?

wazunguwawili

JF-Expert Member
May 29, 2019
3,984
4,131
Imekuwa ni muda sasa hazungumzii kabisa habari za Simba.

Yupo amebanwa na majukumu yake ya uwekezaji wenye tija zaidi?

Kutulia kwake kimya kama vile hana timu aliyowekeza inaleta mashaka.

Tafadhari ndugu muwezaji mwenza usiiache timu. Hawa uto wanajidai sana.

Sisi mashabiki tunaelewa umuhimu wako ktk timu, achana na hawa mashabiki njaa.

Rudi baba, sisi kukaa miaka bila ubingwa tutaisha kwa visukari, kisununu, harara, moyo, figo.

Urudi afya zirejee maana sasa zimedhoofu.
 
Hujui hii ni awamu ya Wanawake na sisi tumewekeza kwenye timu ya Wanawake, timu ya Wanaume wasubiri kwanza labda mpaka awamu zingine!
 
Mlitaka awe anazungukazunguka na bahasha za michongo kama anavyofanya boss wenu
 
Back
Top Bottom