Mo Dewji ameikacha Simba?

Imekuwa ni muda sasa hazungumzii kabisa habari za Simba.

Yupo amebanwa na majukumu yake ya uwekezaji wenye tija zaidi?

Kutulia kwake kimya kama vile hana timu aliyowekeza inaleta mashaka.

Tafadhari ndugu muwezaji mwenza usiiache timu. Hawa uto wanajidai sana.

Sisi mashabiki tunaelewa umuhimu wako ktk timu, achana na hawa mashabiki njaa.

Rudi baba, sisi kukaa miaka bila ubingwa tutaisha kwa visukari, kisununu, harara, moyo, figo.

Urudi afya zirejee maana sasa zimedhoofu.
Abramovich umemsikia lini?
GSM
Grazer
Yule jamaa Liverpool
Umewasikia lini
Hao ni wawekezaji siyo viongozi wa timu
 
Yanga bahana. Tabia za kimaskini sikini tu. Timu ya yanga ni timu maskini ndio maana mawazo yao ni ya kimaskini tu.

Wanaongoza ligi lakini bado wanalalamika. Maskini haaminiki.
 
Imekuwa ni muda sasa hazungumzii kabisa habari za Simba.

Yupo amebanwa na majukumu yake ya uwekezaji wenye tija zaidi?

Kutulia kwake kimya kama vile hana timu aliyowekeza inaleta mashaka.

Tafadhari ndugu muwezaji mwenza usiiache timu. Hawa uto wanajidai sana.

Sisi mashabiki tunaelewa umuhimu wako ktk timu, achana na hawa mashabiki njaa.

Rudi baba, sisi kukaa miaka bila ubingwa tutaisha kwa visukari, kisununu, harara, moyo, figo.

Urudi afya zirejee maana sasa zimedhoofu.

Ataiachaje Simba wakati ana umiliki wa asilimia 49?. Kuiacha inatakiwa auze hiza zake.
 
Imekuwa ni muda sasa hazungumzii kabisa habari za Simba.

Yupo amebanwa na majukumu yake ya uwekezaji wenye tija zaidi?

Kutulia kwake kimya kama vile hana timu aliyowekeza inaleta mashaka.

Tafadhari ndugu muwezaji mwenza usiiache timu. Hawa uto wanajidai sana.

Sisi mashabiki tunaelewa umuhimu wako ktk timu, achana na hawa mashabiki njaa.

Rudi baba, sisi kukaa miaka bila ubingwa tutaisha kwa visukari, kisununu, harara, moyo, figo.

Urudi afya zirejee maana sasa zimedhoofu.
Wa matopeni mnateseka sana!
 
Back
Top Bottom