Nasema kwamba Mo asipopatikana haya fanyanyike
1.Lugola ujuengue katika uwaziri matamko ni mengi kuzidi vitendo,
Haiwezekani alipotekewa kuna makamera, kuna watu kuna kila kitu Alafu leo tunapewa story,
Wajibika mkuu
2. Rais Magufuli angalau uangalie upya nchi yako haiko salama,
3. Makonda naye aachie ngazi mara moja, mwenyekiti wa kamati ya ulinzi ya mkoa,
4. Mambosasa. Pamoja na kutoa kauli za mapema kwamba wazungu ndo wameteka lakin hawajaona gari plate number zake ,ila wameweza kuona kuwa ni wazungu