Mo asipopatikana Lugola aachie ngazi

Mo asipopatikana Lugola aachie ngazi

Ila kama vile Lugola anajua alipo MO ndio maana kawa mkimya sana na sasa shutuma zajibiwa na Masauni
 
mbona lisu alipigwa risasi kwenye nyumba za serikali kabisa
cctv zikafichwa
hata kuku hajakamatwa
hakuna faili la uchunguzi
mwigulu hakufukuzwa kazi
muacheni comic lugola msimuonee
 
.....nondo alianza kusema mheshimiwa aachie ngazi....siku izi kafyata.....akili za kuambiwa changanya na zako sepa
 
Siku magufuli atakapoachia ngazi ndio makonda atajiuzulu.

Makonda kuachia ngazi kwa sasa ni ndoto kama hyo ya kumpata MO!
 
Nasema kwamba Mo asipopatikana haya fanyanyike
1.Lugola ujuengue katika uwaziri matamko ni mengi kuzidi vitendo,
Haiwezekani alipotekewa kuna makamera, kuna watu kuna kila kitu Alafu leo tunapewa story,

Wajibika mkuu

2. Rais Magufuli angalau uangalie upya nchi yako haiko salama,

3. Makonda naye aachie ngazi mara moja, mwenyekiti wa kamati ya ulinzi ya mkoa,

4. Mambosasa. Pamoja na kutoa kauli za mapema kwamba wazungu ndo wameteka lakin hawajaona gari plate number zake ,ila wameweza kuona kuwa ni wazungu

Hakuna mtanzania anaweza kuwajibika kwani hatuna utamaduni huo kuanzia raia namba moja mpaka chini. Na kumbuka viongozi wa nchi hii hawawajibiki kwa wananchi bali waliowateua. Iwapo waliowateua wanaridhika na utendaji wao kulingana na utashi wao utasubiri sana hao uliowataja wawajibike. Cha muhimu ni hivi vyama vya upinzani kama alivyofanya Lema jana kuweka shinikizo na kunyooshea kidole wazi wazi washukiwa. Usitegemee viongozi wa dini, vyama vya wafanyakazi nk kuhoji maana hao wapo kwenye usingizi mzito wa blanket la woga.
 
Lugola hata MO akipatikana aondoke tu.

Huyo aliyemteua ameridhishwa na kiwango chake cha kujipendekeza hivyo bado yupo yupo sana. Na uzoefu wangu unaonyesha marobot yote hayatumbuliwi kwani yanafuata kama button zilivyokuwa propgrammed. Akina Nape, Mwigulu ndio walijifanya majini yaliyotoka kwenye chupa, saa hii wameshushwa mpaka daraja la tatu wako kwenye kampeni za kuuza sura kuwapigia debe mamluki toka upinzani wachukue nafasi za ubunge mbele ya ccm wabeba briefcase.
 
Thubutu Lugola aachie ngazi kwa sababu ya kutekwa kwa MO labda kifo kitokee ndicho kitakachomtenganisha na uwaziri na siyo kutekwa kwa MO ambako tayari wameshatoa majibu kuwa kutekwa ni jambo la kawaida na halitokei Tanzania peke yake hata nchi zingine watu wanatekwa.

Kwa mazingira kama haya unategemea Lugola awajibike kwa kuachia ngazi labda kama atakuwa amepatwa na kichaa, aliyeweza kufanya hivyo ni muhe Mwinyi peke yake, baada ya hapo wateule wengi wanamlango wa kuingilia wakutokea haupo labda wakimbizwe na mawe ndiowatauona mlango wa kutokea.
 
Hakuna mtanzania anaweza kuwajibika kwani hatuna utamaduni huo kuanzia raia namba moja mpaka chini. Na kumbuka viongozi wa nchi hii hawawajibiki kwa wananchi bali waliowateua. Iwapo waliowateua wanaridhika na utendaji wao kulingana na utashi wao utasubiri sana hao uliowataja wawajibike. Cha muhimu ni hivi vyama vya upinzani kama alivyofanya Lema jana kuweka shinikizo na kunyooshea kidole wazi wazi washukiwa. Usitegemee viongozi wa dini, vyama vya wafanyakazi nk kuhoji maana hao wapo kwenye usingizi mzito wa blanket la woga.
Kweli
 
Thubutu Lugola aachie ngazi kwa sababu ya kutekwa kwa MO labda kifo kitokee ndicho kitakachomtenganisha na uwaziri na siyo kutekwa kwa MO ambako tayari wameshatoa majibu kuwa kutekwa ni jambo la kawaida na halitokei Tanzania peke yake hata nchi zingine watu wanatekwa.

Kwa mazingira kama haya unategemea Lugola awajibike kwa kuachia ngazi labda kama atakuwa amepatwa na kichaa, aliyeweza kufanya hivyo ni muhe Mwinyi peke yake, baada ya hapo wateule wengi wanamlango wa kuingilia wakutokea haupo labda wakimbizwe na mawe ndiowatauona mlango wa kutokea.
Kifo.cha nani Lu Goola au Mou
 
TAYARI UMESHAKOSEA, JAMAA YENU HUWA HAPANGIWI KWANI KADI ALICHUKUA MWENYEWE
 
Ila kama vile Lugola anajua alipo MO ndio maana kawa mkimya sana na sasa shutuma zajibiwa na Masauni

Kwa taarifa yako huyo Lugola hajui lolote, yeye ni kama vile vinyago vinawekwaga shambani kuzuia tumbili kula mahindi shambani. Saa hii yuko mahali anamezeshwa maneno ya kuongea kumjibu Lema. Hicho cheo kakipata kwa kimbola sio zaidi ya hapo.
 
Nasema kwamba Mo asipopatikana haya fanyanyike
1.Lugola ujuengue katika uwaziri matamko ni mengi kuzidi vitendo,
Haiwezekani alipotekewa kuna makamera, kuna watu kuna kila kitu Alafu leo tunapewa story,

Wajibika mkuu

2. Rais Magufuli angalau uangalie upya nchi yako haiko salama,

3. Makonda naye aachie ngazi mara moja, mwenyekiti wa kamati ya ulinzi ya mkoa,

4. Mambosasa. Pamoja na kutoa kauli za mapema kwamba wazungu ndo wameteka lakin hawajaona gari plate number zake ,ila wameweza kuona kuwa ni wazungu
Si kujiuzulu pekee , anapaswa kukamatwa ili asaidie uchunguzi
 
Waachie ngazi ipi labda? Kama unamaanisha uongozi umekosea na unajaribu kufikiri kisichowezekana awamu ya 5. Tangu lini mtu akajiadhibu kwenye kazi yake tukufu aliyoifanya kwa nguvu zake zote na ndio miongoni mwa sera ya kazi zake.
 
pale ambapo Panya wakifanya kikao kujadiriana PAKA Wa mwenye nyumba afukuzwe nyunbani;

Sijui ushauri wao utasikilizwa! au maanake mi navyojua hao panya wenyewe mwenye nyumba ndo hawataki!
Kama utani lakini ujumbe wa maana
 
Back
Top Bottom