Mnyukano wa Jerry Slaa na Rahma Al Kharoos ubunge wa Ilala CCM 2015

ilala wanakaa wajinga wajinga... Wanaopewa kanga pombe, flana na 5,000.. Zungu anapita kirahisi sana... Waswahili ni watu wabaya sana... Wanaridhika na vitu vidogo vidigo!

Ilala hawajaoza meno,tena wana shughuri za kujipatia pesa na maisha yao yapo juu sana yani bajeti ya home kwa siku zaidi ya msimbazi...pia hakuna wakusanya harambee zaidi muulize babu Slaaa anaijua vizuri ilala

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Hivi mna wabunge wangapi vile bungeni? nasikia CCM zaidi ya 200.

Bado mna safari ndefu sana a kwenda, na inaonesha mlivyo na uchu wa pesa na madaraka, mkiukosa Urais safari hii mtatafunana. Jitayarisheni kutafunana kwani nasikia katiba mpya itazuwia uchaguzi kwa miaka 3 mpaka 5 mingine. Hapo sasa!

Wewe kwa propaganda tu, hujambo! Mnasomea wapi siku hizi? Maana Bulgaria haipo tena!

Badala ya kutamba kuwa mna wabunge zaidi ya 200, jiulize Chadema walikuwa na wangapi 2005, na waliongeza wangapi 2010.

2015 nakuhakikishia mtashuka chini ya 150! Hapo sijui utahama nchi au utajiua kabisa!!
 
Una uhakika utakuwepo 2015? Mla mla leo mla kesho kala nini?
 
Habari za ndani ni hapatoshi CCM Ilala kati ya makada wa CCM Meya wa manispaa ya Ilala Jerry Slaa na Rahma Al Kharoos (Malkia wa Nyuki) tajiri wa Simba anayeishi Oman na pia mwanachama wa CCM na mfanyabiashara mwenye uraia wa Tanzania na Oman ambaye baba yake ni ruban mstaafu wa Oman Airways. Wote hawa wanautaka ubunge kupitia jimbo hlo. Inadaiwa Jerry alikuwa ashakubaliwa na vikao vya ndani kuwa atapewa nafasi hiyo kwa kuwa Zungu hatagombea, ila chanzo cha habari kinadai kuwa hali imetibuliwa na maelekezo kutoka juu kuwa viongozi wamwandalie nafasi na mkakati mzuri Rahma Al Kharoos ili agombee 2015.

Hiyo inaruhusiwa?
 
Hoja yangu ni hiyo. Na si sehemu inayokubalika kama unavyoamini, ingekuwa inakubalika sehemu 'nyingi" tungemuona Slaa na Josefina wapo Ikulu saa hizi, wapii!

Kama msingeiba kura ndo ikuwa hivyo. Tanzania inaongozwa na viongozi ambao sio chaguo la wananchi bali la PoliCCM na Usalama wa Viongozi,,aah sorry wa Taifa.
 
Habari za ndani ni hapatoshi CCM Ilala kati ya makada wa CCM Meya wa manispaa ya Ilala Jerry Slaa na Rahma Al Kharoos (Malkia wa Nyuki) tajiri wa Simba anayeishi Oman na pia mwanachama wa CCM na mfanyabiashara mwenye uraia wa Tanzania na Oman ambaye baba yake ni ruban mstaafu wa Oman Airways. Wote hawa wanautaka ubunge kupitia jimbo hlo. Inadaiwa Jerry alikuwa ashakubaliwa na vikao vya ndani kuwa atapewa nafasi hiyo kwa kuwa Zungu hatagombea, ila chanzo cha habari kinadai kuwa hali imetibuliwa na maelekezo kutoka juu kuwa viongozi wamwandalie nafasi na mkakati mzuri Rahma Al Kharoos ili agombee 2015.

Sorry hapo juu umesema huyu Rahma ana uraia wa Tanzania na Oman!?? hivi Tanzania katiba yetu inaruhusu dual citizenship!??
 
Hata mimi nimechoka kabisa..[/QU uraia wa nchi mbil kikatba haujaruhusiwa ila mawaziri wenyewe na vgogo washavunja katba na wapo weng tayar wana uraia wa nchi mbili. mfno Masha, Membe ana uraia wa Canada, Sugu wa USA. Wapo weng ulza uelimishwe, katba tunaifuata sisi walalahoi na c wao.
 
Huyo dada hajazaa na mzee wa kaya ni gagari, ana mtoto wa kiume amezaa arabuni yupo bongo mwingine msichana yupo arabuni amezaa na muarabu anaitwa Saidi ambaye ni mfanyabiashara anaishi Ilala wameachana akaolewa na mzungu akazaa mapacha hao ndiyo wtoto wake. ila alikuwa mtu wake walishaachana siku nyingi. ss yupo na mtu tofauti kabisa.

Kwa hiyo mkuu wa nyumba wanamwonea tu waswahili bana!:disapointed:
 
Unamaanisha ndo Mamake na Rizmoko?

Sent from my BlackBerry 9380 using JamiiForums

hivi kweli mama mzazi wa rizimoko ni nani?
hili jimbo bado lina changamoto zake na nadhani litakuwa la mwisho kukombolewa kwa sababu asilimia kubwa sio watanzania,wanakaa kwa magumashi na woga.
ila hakuna jiwe litakalosalia juu ya jiwe.
 
Back
Top Bottom