Mnyukano kwenye kupanda vyeo kwa watumishi wa umma, Waziri elimisha wafanyakazi kupitia maafisa utumishi

Retina

JF-Expert Member
Mar 6, 2015
1,038
1,154
Katika hali inayoonekana kuwa na taharuki ni Rais, kutopandisha mishahara kwa watumishi wa umma, imesababisha wafanyakazi kutoelewa ni nani anastahili kupata cheo kipya, ili aweze kujikwamua na hali ngumu ya kimaisha.

Kunahitaji elimu ya kutosha, kinachoonekana watu hawaelewi ni muda gani mfanyakazi anastahili kupanda cheo, hii inatokana na watumishi wengi kukaa kwenye cheo kimoja kwa muda mrefu.

Kuna wafanyakazi wengine Wanasema kupanda cheo ni bahati tu ya na ndiyo maana utakuta mfanyakazi amefanya kazi kwa miaka Sita( 6) lakini ana mshahara Sawa na mfanyakazi aliyeanza kazi hivi karibuni.

2 Kutokana na changamoto hizi na nyingine nyingi Kuna haja ya Waziri katika ofisi ya Rais menejiment wa utumishi wa umma kutoa maagizo, au amri kwa maafisa utumishi kupita katika kila taasisi za umma kuwaelimisha ili kupunguza taharuki iliyopo.
 
Kitu ambacho wafanyakazi waliumizwa na Utumishi ya JPM and I see the same issue kwa Samia ni kutoheshimiwa kwa muda wa kupanda hayo madaraja yao. Miaka yote ni interval ya three years. JK successful made it. JPM akaleta miaka 4 ambayo hata haijulikani imetoka wapi. Samia has, I believe, unintentionally repeated the same mistake.

Awarudishie miaka mitatu mitatu kama ilivyo kwa sheria zao. Aachane na uonevu ambao kusema ukweli unaletwa na utumishi. Ni kuwaonea wafanyakazi tu tena wafanyakazi masikini. Samia hebu badilisha hiyo issue ya miaka kwa public servants ambao wanaendelea angalau. You're the president and CiC my sweetheart. Wasaidie.
 
Kitu ambacho wafanyakazi waliumizwa na Utumishi ya JPM and I see the same issue kwa Samia ni kutoheshimiwa kwa muda wa kupanda hayo madaraja yao. Miaka yote ni interval ya three years. JK successful made it. JPM akaleta miaka 4 ambayo hata haijulikani imetoka wapi. Samia has, I believe, unintentionally repeated the same mistake. Awarudishie miaka mitatu mitatu kama ilivyo kwa sheria zao. Aachane na uonevu ambao kusema ukweli unaletwa na utumishi. Ni kuwaonea wafanyakazi tu tena wafanyakazi masikini. Samia hebu badilisha hiyo issue ya miaka kwa public servants ambao wanaendelea angalau. You're the president and CiC my sweetheart. Wasaidie.
Well said, Dikteta aliharibu sn idara ya utumishi
 
Utumishi Wa Umma una majungu sana pia..Hasa ofisi zenye hali nzuri kifedha...HILO NALO Waziri Mchengerwa liangalie sana.
 
Back
Top Bottom