Tabby unatatizo kidogo,
Jiulize haya Masawali kuhusu report ya Mwakyembe iliyomgoa Waziri Mkuu Lowasa
1.Mwakembe alisema Richmond ilikuwa ni Kampuni Feki ambayo haikusajiliwa sehemu yoyote Duniani.Je ilikuwa kweli?
2.Je umejiuliza kama Richmond ilikuwa feki Symbion ameinunua Richmond kutoka Kwa Nani?
3.Je waziri wa Mambo ya nje wa Marekani alipokuja kuzindua hiyo mitambo Richmond/Symbion alizindua kitu feki-Wamarekani ni wa hovyo wanaweza kufanya Biashara na Kampuni Feki.
3.Je Hiyo Symbion kama alimnunua Richmond ni kiasi gani cha Pesa alitoa?
5.Je Serikali ilipata Kodi Kiasi gani kutokana na Hayo Mauzo?
Ukiweza kupata majibu ya haya maswali ndio unaweza kutambua watanzania tunavyobuluzwa na Mataifa ya Nje.Wametuvuruga kupitia wanasiasa mpaka Serikali ikakubali Tukampoteza Waziri wetu Mkuu Lowasa,Mataifa ya Magharibi yakachukua Mitambo kirahisi.Na sasa wantuuzia umeme kutoka kwenye Mitambo yetu wenyewe tuliyoikataa.
Kwa style hiyo hiyo wanataka kuichukua IPTL kwa kupitia Wanasiasa Uchwara.
Da kaka unmetoa data vizuri sana, kwani suala hili la Escro watu wanadhani kuwa haya maamuzi ndiyo yatakuwa mwarobaini wa rushwa na ufisadi nchini, kama nchi ni lazima tukaechini na tujitafakari kuweza kuona ni nini cha kufanya na tuache kusolve mambo magumu kwa majibu mepesimepesi na ya harakaharaka ya kisiasa....Hivi kwenye hii nchi nani ambaye siyo mwizi?......