Mnyonge Mnyongeni, haki yake mpeni: Waziri Mbarawa alifanya kazi kubwa wakati wake!

Huu mtazamo wako kwamba mim ninayeandika hapa ndiye Profesa Mbarawa ni potofu na kumkosea adabu Profesa, na uduni wa kufikiri pia..ni kama watz wote unawarank kwenye level yako ya kufikiri, kwamba yale wanayofanya viongozi hatufurahishwi nayo, si kweli..wengine tumevuka mstari wa kufikiri negatives all the time na kuwa na chuki dhidi ya wengine pasi na sabab za msingi, mtu muungwana aliyeelimika anajua kuheshimu na kuthamini kila jambo zuri linalofanywa na wengine! Ninathamini mchango wa Profesa Mbarawa kwenye sekta ya maji sababu nafahamu kwa mifano kilichofanyika chini yake wakati akiwa waziri wa maji, ndio sababu nawakumbusha waliopo sasa kwenye wizara hiyo si uungwana na ustaarabu kupokea pongezi na shukurani za mafanikio ya mradi wa maji kutoka ziwa viktoria kufika mkoa wa Tabora wakati aliyesimamia mafanikio haya yupo na si wao..
Lkn nimekuambia hapo mwanzo pesa haiwez fanya kila kitu, bado unang'ang'ana kitu kile kile mara umerukia sijui vx..wewe unaweza linganisha thamani ya uhai wa watu wanaonufaika na maji haya vijijin kulikokuwa hakuna maji na thamani ya gari..? gari la kazi ndiyo limepeleka maji Tabora..Lbda una kasoro kichwani.

Kama ww ni muelewa na unajinasibu kuwa ni muelewa, ulipaswa kujua kuwa kusifiwa ni hisani isiyodaiwa, nakushangaa kulazimisha kusifiwa/ kupongezwa kwa kazi ambayo ww au yeye alillipwa mshahara wake. Sijui unakwama wapi.
 
Akili yako ni ngumu sana, mim si Mbarawa acha kurudia rudia hili, pili kama kupongezwa ni hisani huwezi kufanya hisani hiyo kwa asiyeistahili, ni bora usiitoe..tatu,toka mradi uanze mawaziri wa maji waliopita walikuwepo na mshahara walikuwa wnalipwa lkn maji hayakufika hata hapo kagongwa..hii ndio sabab tunampongeza aliyelipwa mshahara na maji ymefika hadi Tabora!
 
Wiki hii Rais Magufuli amekuwa anafungua miradi ya maji kutoka ziwa victoria, juzi jana na leo yuko Tabora..ni jambo la kweli kwamba kufikisha maji haya Tabora ni mafanikio makubwa kwa historia ya nchi yetu.

Hata hivyo, kuna jambo hapa halipendezi, waziri ambaye alisimamia miradi hii hata kama wakati serikali iliyopita kabla ya uchaguzi Novemba 2020 ilikuwa haijaikamilisha lakini kazi kubwa ilikuwa tayari imekwishafanyika, hatajwi kabisa kama sehemu ya mafanikio haya.

Hadi kufikia Julai 2020 tayari maji yalikuwa yamekwisha fika Igunga na wananchi walikuwa wanatumia, kwa mfano nilifika vijiji vya Ngulu na Mwabubele katika wilaya ya Igunga maji kutoka ziwa victoria tayari yalikuwa yamekwisha fika na watu wanatumia..cha kushangaza na kusikitisha Waziri aliyesimamia mafanikio haya Profesa Mbarawa kwanza hatajwi kupewa stahiki yake kutokana na mafanikio haya, lakini hata hayupo kuhudhuria ufunguzi huu. Sio sawa...wala si uungwana kufanya hivi.

Miradi hii inayofunguliwa haikuwa usimamizi wa Waziri Aweso, si kwamba nabeza uwezo wake kiutendaji, sidhani miradi hii inayofunguliwa imeanza na kukamilika wakati Aweso akiwa ndiye waziri wa maji...kama hadi kufikia mwezi Julai 2020 maji yalikuwa yameshafika Igunga anayestahili kupongezwa kusimamia mafanikio haya ni waziri wa maji aliyepita, profesa Mbarawa! apewe haki yake..!

Waziri pekee aliyegombana na wakandarasi hadharani na kukatisha mikataba yao ya kazi kipindi kilichopita ni waziri Mbarawa! inashangaza kusikia kuwa wizara ya maji ilikuwa na mikataba mibovu ya wakandarasi na yenye gharama za juu kwa kuelekeza lawama kwa waziri Mbarawa peke yake ilihali aliye kuwa katibu mkuu wa wizara hii profesa Kitila Mkumbo sasa ni waziri wa uwekezaji, kuna vitu vinapingana hapa, katibu mkuu aliyekaa na mikataba mibovu anapandishwa madaraka, waziri anashushwa..ni sahihi kweli???

Hata kama mnakwepa kutambua mchango wa waziri Mbarawa kwenye mradi huu, sisi wananchi tunatambua na Mwenyezi Mungu anajua! ni kama toka serikali hii imeanza baada ya uchaguzi Oktoba 2020 kuna juhudi za kuwafanyia character assassination baadhi ya senior ministers, Lukuvi, Kabudi, Mbarawa, Mpina na wengine, halafu tunaletewa kina Kundo anayesema Tanzania tuwe na instagram yetu tusitegemee za wengine..!

Hivi nchi ikibaki na watu wa aina ya Kundo au yule naibu waziri wa maji anayeambiwa na Engineer maji yanashindwa kutoka sababu kuna low voltage, halafu yeye anauliza kwani TANESCO wanawadai kiasi gani, yaani low voltage kwake ni kwa sababu kuna deni TANESCO..kweli nchi itaendelea na viongozi wa aina??

This time baraza la mawaziri limejaa amateurs, ambao ni first timers bungeni, watu wazoefu waliofanya vizuri wameachwa..! Tanzania inatimiza miaka 60 tangu kupata uhuru, ni umri wa mtu mzima anaelekea uzee, ajabu matendo yetu ni kama ya kijana wa miaka 20! kauli za kusema nchi ina vijana wengi hivyo viongozi pia wawe vijana ni kauli potofu kabisa! mbona hatusemi kwa vile wanawake ni wengi zaidi ya wanaume wao ndio wanapaswa wawe wengi kwenye uongozi wa nchi...! hoja mufilisi kabisa za kutaka kuengua baadhi ya watu na kuweka wanaowataka kwa maslahi yao si ya nchi!

Inavyoonekana, kuna kundi la watu wanataka nchi iwe na viongozi ambao kila wanachotaka kufanya lazima waulize, kundi hili halitaki viongozi INDEPENDENT kwenye maamuzi kama Lukuvi, Mpina, Mbarawa nk! tukienda hivi hatutafika popote! tusiruhusu hali hii iendelee.

HONGERA PROFESA MBARAWA KUFANIKISHA MRADI WA MAJI KUTOKA ZIWA VICTORIA KUFIKA KAHAMA, NZEGA, TABORA HADI IGUNGA! MWENYEZI MUNGU ATAKULIPA KWA JUHUDI NA MOYO HUO WA KUJITOA KUWATUMIKIA WATANZANIA!
 
Kinapongezwa kiti na sio mtu, ukisema tupongeze watu hata Magu hatapewa sifa hata moja. Kama ni pongezi basi anastahili lowasa aliyeitetea Tanzania kule misri kuhusu matumizi ya maji ya ziwa Victoria wakati huo, mbona yeye hata hujam_mention kwenye andiko lako.
 
Anapongezwa mtu sabab ana utashi wa kuamua kufanya au kuzunguka zunguka bila jambo husika kukamilika..cheo hakitoi maamuzi hakina hisia ya maumivu au ahueni inayotokana na kuchelewesha au kuharakisha jambo husika..Lowassa alipongezwa wakati huo ilipokubaliwa maji tuyatumie kwa njia hiyo, lakin kupigania matumizi na kusimamia yafike kwa wahitaji ni mambo mawili tofauti.
 
Akili yako ni ngumu sana, mim si Mbarawa acha kurudia rudia hili, pili kama kupongezwa ni hisani huwezi kufanya hisani hiyo kwa asiyeistahili, ni bora usiitoe..tatu,toka mradi uanze mawaziri wa maji waliopita walikuwepo na mshahara walikuwa wnalipwa lkn maji hayakufika hata hapo kagongwa..hii ndio sabab tunampongeza aliyelipwa mshahara na maji ymefika hadi Tabora!

Hao mawaziri waliopita walitengewa hela kama aliyotengewa huyo Mbarawa? Ulishalipwa au alishalipwa mshahara wake, hiyo ni shukran yake kwahiyo apite hivi.
 
Wiki hii Rais Magufuli amekuwa anafungua miradi ya maji kutoka ziwa victoria, juzi jana na leo yuko Tabora..ni jambo la kweli kwamba kufikisha maji haya Tabora ni mafanikio makubwa kwa historia ya nchi yetu.

Hata hivyo, kuna jambo hapa halipendezi, waziri ambaye alisimamia miradi hii hata kama wakati serikali iliyopita kabla ya uchaguzi Novemba 2020 ilikuwa haijaikamilisha lakini kazi kubwa ilikuwa tayari imekwishafanyika, hatajwi kabisa kama sehemu ya mafanikio haya.

Hadi kufikia Julai 2020 tayari maji yalikuwa yamekwisha fika Igunga na wananchi walikuwa wanatumia, kwa mfano nilifika vijiji vya Ngulu na Mwabubele katika wilaya ya Igunga maji kutoka ziwa victoria tayari yalikuwa yamekwisha fika na watu wanatumia..cha kushangaza na kusikitisha Waziri aliyesimamia mafanikio haya Profesa Mbarawa kwanza hatajwi kupewa stahiki yake kutokana na mafanikio haya, lakini hata hayupo kuhudhuria ufunguzi huu. Sio sawa...wala si uungwana kufanya hivi.

Miradi hii inayofunguliwa haikuwa usimamizi wa Waziri Aweso, si kwamba nabeza uwezo wake kiutendaji, sidhani miradi hii inayofunguliwa imeanza na kukamilika wakati Aweso akiwa ndiye waziri wa maji...kama hadi kufikia mwezi Julai 2020 maji yalikuwa yameshafika Igunga anayestahili kupongezwa kusimamia mafanikio haya ni waziri wa maji aliyepita, profesa Mbarawa! apewe haki yake..!

Waziri pekee aliyegombana na wakandarasi hadharani na kukatisha mikataba yao ya kazi kipindi kilichopita ni waziri Mbarawa! inashangaza kusikia kuwa wizara ya maji ilikuwa na mikataba mibovu ya wakandarasi na yenye gharama za juu kwa kuelekeza lawama kwa waziri Mbarawa peke yake ilihali aliye kuwa katibu mkuu wa wizara hii profesa Kitila Mkumbo sasa ni waziri wa uwekezaji, kuna vitu vinapingana hapa, katibu mkuu aliyekaa na mikataba mibovu anapandishwa madaraka, waziri anashushwa..ni sahihi kweli???

Hata kama mnakwepa kutambua mchango wa waziri Mbarawa kwenye mradi huu, sisi wananchi tunatambua na Mwenyezi Mungu anajua! ni kama toka serikali hii imeanza baada ya uchaguzi Oktoba 2020 kuna juhudi za kuwafanyia character assassination baadhi ya senior ministers, Lukuvi, Kabudi, Mbarawa, Mpina na wengine, halafu tunaletewa kina Kundo anayesema Tanzania tuwe na instagram yetu tusitegemee za wengine..!

Hivi nchi ikibaki na watu wa aina ya Kundo au yule naibu waziri wa maji anayeambiwa na Engineer maji yanashindwa kutoka sababu kuna low voltage, halafu yeye anauliza kwani TANESCO wanawadai kiasi gani, yaani low voltage kwake ni kwa sababu kuna deni TANESCO..kweli nchi itaendelea na viongozi wa aina??

This time baraza la mawaziri limejaa amateurs, ambao ni first timers bungeni, watu wazoefu waliofanya vizuri wameachwa..! Tanzania inatimiza miaka 60 tangu kupata uhuru, ni umri wa mtu mzima anaelekea uzee, ajabu matendo yetu ni kama ya kijana wa miaka 20! kauli za kusema nchi ina vijana wengi hivyo viongozi pia wawe vijana ni kauli potofu kabisa! mbona hatusemi kwa vile wanawake ni wengi zaidi ya wanaume wao ndio wanapaswa wawe wengi kwenye uongozi wa nchi...! hoja mufilisi kabisa za kutaka kuengua baadhi ya watu na kuweka wanaowataka kwa maslahi yao si ya nchi!

Inavyoonekana, kuna kundi la watu wanataka nchi iwe na viongozi ambao kila wanachotaka kufanya lazima waulize, kundi hili halitaki viongozi INDEPENDENT kwenye maamuzi kama Lukuvi, Mpina, Mbarawa nk! tukienda hivi hatutafika popote! tusiruhusu hali hii iendelee.

HONGERA PROFESA MBARAWA KUFANIKISHA MRADI WA MAJI KUTOKA ZIWA VICTORIA KUFIKA KAHAMA, NZEGA, TABORA HADI IGUNGA! MWENYEZI MUNGU ATAKULIPA KWA JUHUDI NA MOYO HUO WA KUJITOA KUWATUMIKIA WATANZANIA!
Tatizo la mheshimiwa Mbalawa alikataa ushauli wa Rais Magufuli kuwa wakati mwingine apige cha arusha,ili awe mkali zaidi 😆😆😂😂😂
 
Hao mawaziri waliopita walitengewa hela kama aliyotengewa huyo Mbarawa? Ulishalipwa au alishalipwa mshahara wake, hiyo ni shukran yake kwahiyo apite hivi.
Zionyeshe hapa zile walitengewa mawaziri waliopita na zilizotengwa wakati wa Mbarawa..maana unazijua ubishi wa nini.
 
Ww ndio uziweke maana unasema hao wengine walipewa lakini hawakujenga hiyo miradi kama ww au yeye.
 
Nimesema habari ya mshahara unayotaja taja kila mara, wewe ndiye umesema habari za kutengewa hela kwa ajili ya mradi..nadhani mshahara na hela za mradi ni vitu tofauti..unawezaje sahau unayosema wewe mwenyewe!
 
Wabongo bwana, yani unamsifia waziri ambaye anaenda site siku mradi ukikamilika alafu unamsahau injinia anayekesha site akikimbizana na mafundi!!
 
Nimesema habari ya mshahara unayotaja taja kila mara, wewe ndiye umesema habari za kutengewa hela kwa ajili ya mradi..nadhani mshahara na hela za mradi ni vitu tofauti..unawezaje sahau unayosema wewe mwenyewe!
Sioni kama una jipya, umeshalipwa chako na biashara yako imeisha, kajiajiri au tafuta ajira nyingine kama huna uwezo wa kupambana ww binafsi fullstop.
 
Maneno unayotumia yanaonyesha kichwani hakuko sawa, ndio maana baada ya dk 2 huwezi kumbuka hata unayosema wewe mwenyewe.
 
Niko vizuri boss ndio maana nakushangaa ulishalipwa chako halafu unakuja kuanzisha uzi ili usifiwe! Hakuna wa kukusifia humu ndani, ww kapambane na hali yako.
 
Sisi tunaotumia maji Igunga yaliyoletwa kwa juhudi za Profesa Mbarawa tunatambua mchango wake..Mwenyezi Mungu pia anatambua mchango wake, hizo zinatosha kwake. Ni ajabu wewe kujibu jambo halikuhusu, waliolengwa ni wale waliokuwa wanatoa pongezi na shukurani kwenye ufunguzi wa miradi hii..si wewe!
 
Hizo pongezi usingekuja kuziomba kupitia hapa jukwaani, ungeenda huko huko kwenye mradi ukaziombe hizo pongezi. Hapa ni kwenye public domain, ukishaweka ni kwa matumizi ya umma tegemea kujibiwa na yoyote. Labda kama hujui matumizi ya mitandao hasa unapoweka taarifa yako wazi.
 
Watu wengine elimu inawatia ujinga zaidi ya waliokuwa nao..ni ujinga kujibu jambo lisilokuhusu, sikuandika hapa kutaka pongezi kwa waziri Mbarawa zaidi ya kukumbusha wahusika vile walipaswa kufanya..wewe si miongoni mwao! Si kila kitu kinachowekwa public kinakuhusu, akili ndogo ya kutambua hilo huna, nilichagua njia hii kuwasiliana na wahusika si wewe! na kwangu ni mafanikio sababu waziri Awesso alitambua mchango wa Mbarawa kwenye mradi huuwakati akitoa salamu Tabora tofauti na ilivyokuwa kahama. Acha ubishi wa kipumbavu kwa jambo lisilokuhusu.
 
Back
Top Bottom