dah huyu mnyika mi hata simuelewi,kila siku ye lazma asimame hata km hoja yke haina mashiko utamuona tu.halafu cku hizi kapata mwenzie pale mjengoni naye mapepe ile mbaya si mwingine ni dogo nasali.hawa jamaa km vile wako darasani tena std 7.nadhan km vile mnyika alikua anataka kufikia level za zitto na mdee ila wenzie huwa hawasimami kila siku,kwa kawaida zitto au mdee akisimama ujue moto utawaka ila hawa mnyika na nasali wanaboa siku hizi.