[h=3]Halmashauri sita zakiuka masharti ya Mfuko wa Jimbo - Kitaifa[/h]
Kifungu cha 12 cha Sheria ya Mfuko wa Jimbo ya mwaka 2009, kinaeleza kuwa orodha ya miradi inayoweza kutekelezwa inatakiwa kuibuliwa na wananchi wanaoishi katika jimbo husika.
Jimboni chalinze kwa mtoto wa mfalme wanafunzi wanasomea chini ya mti.
Hata kijiji cha msoga wanafunzi wanakaa chini
Kwani hujui kama vikao vya madiwani wabunge nao ni sehemu yao. Vikao vyote vya maamuzi wabunge wamo, tafuta sababu nyingine braza!kumbe umesikia huna uhakika,hearsay is not admissible as evidence,kukusaidia tu,shule kavhizo zinasimamiwa na halmashauri,cha msingi mbananishe diwani kwani yeye ndio hushiriki mikutano ya uamuzi halmashauri.
Kaulize nyumbani kwako. Watu tumeshapinda sahiz. Watu tunauliza mambo ya msingi wewe unaleta utani. Labda wewe ndio sio wa ubingoKati yenu mnaopiga makelele nani wa Ubungo???
Mi napita tuu.Wajua kuwa shule za jimbo la Ubungo wanafunzi wanakaa chini, tembelea shule za msingi, Manzese, Ukombozi, Tandale magharibi, Makoka na nyinginezo nyingi tu nakumbuka hii ni moja ya ahadi yako.
Pamoja na michango mingi lakini kwanini watoto wetu wakae chini halafu tumekupa dhamana unauchuna tu
Unamlalamikia Mnyika kwani yeye ni 'Waziri wa madawati'?
unaona sasa watu wengne mlivyo!
na mfuko wa jimbo unafanya nini? Nasikia anapewa zaidi ya mil600 kwa mwaka! Miaka minne na nusu sasa katoa cherehani kumi tu.