Malata Junior
JF-Expert Member
- Nov 29, 2011
- 3,108
- 2,553
Na mfuko wa jimbo unafanya nini? nasikia anapewa zaidi ya mil600 kwa mwaka! miaka minne na nusu sasa katoa cherehani kumi tu.
Jimboni chalinze kwa mtoto wa mfalme wanafunzi wanasomea chini ya mti.
Wajua kuwa shule za jimbo la Ubungo wanafunzi wanakaa chini, tembelea shule za msingi, Manzese, Ukombozi, Tandale magharibi, Makoka na nyinginezo nyingi tu nakumbuka hii ni moja ya ahadi yako.
Pamoja na michango mingi lakini kwanini watoto wetu wakae chini halafu tumekupa dhamana unauchuna tu
pesa za mfuko wa jimbo mnyika anazila na wadada wanachuo wa Mabibo Hostel
Wajua kuwa shule za jimbo la Ubungo wanafunzi wanakaa chini, tembelea shule za msingi, Manzese, Ukombozi, Tandale magharibi, Makoka na nyinginezo nyingi tu nakumbuka hii ni moja ya ahadi yako.
Pamoja na michango mingi lakini kwanini watoto wetu wakae chini halafu tumekupa dhamana unauchuna tu
Wajua kuwa shule za jimbo la Ubungo wanafunzi wanakaa chini, tembelea shule za msingi, Manzese, Ukombozi, Tandale magharibi, Makoka na nyinginezo nyingi tu nakumbuka hii ni moja ya ahadi yako.
Pamoja na michango mingi lakini kwanini watoto wetu wakae chini halafu tumekupa dhamana unauchuna tu
Nasikia wa msoga wote wanakalia sofa!! Eti ni kweli?Wajua kuwa shule za jimbo la Ubungo wanafunzi wanakaa chini, tembelea shule za msingi, Manzese, Ukombozi, Tandale magharibi, Makoka na nyinginezo nyingi tu nakumbuka hii ni moja ya ahadi yako.
Pamoja na michango mingi lakini kwanini watoto wetu wakae chini halafu tumekupa dhamana unauchuna tu
Wajua kuwa shule za jimbo la Ubungo wanafunzi wanakaa chini, tembelea shule za msingi, Manzese, Ukombozi, Tandale magharibi, Makoka na nyinginezo nyingi tu nakumbuka hii ni moja ya ahadi yako.
Pamoja na michango mingi lakini kwanini watoto wetu wakae chini halafu tumekupa dhamana unauchuna tu
Na mfuko wa jimbo unafanya nini? nasikia anapewa zaidi ya mil600 kwa mwaka! miaka minne na nusu sasa katoa cherehani kumi tu.
Iulize halmashauri
mnyika ni tatizo nakumbuka 2010 alisema ataleta maji kigogo hadi leo ajawai onekana kigogo tunamsubiri aise
Wajua kuwa shule za jimbo la Ubungo wanafunzi wanakaa chini, tembelea shule za msingi, Manzese, Ukombozi, Tandale magharibi, Makoka na nyinginezo nyingi tu nakumbuka hii ni moja ya ahadi yako.
Pamoja na michango mingi lakini kwanini watoto wetu wakae chini halafu tumekupa dhamana unauchuna tu
Kwahiyo Mnyika anaiga kutoka jimbo la Chalinze?Jimboni chalinze kwa mtoto wa mfalme wanafunzi wanasomea chini ya mti.
Mwaka huu Ubunge atausikia tu! Hakuna namna anaweza kushinda tena jimbo la Ubungo!mfuko wa jimbo upo kwa mkeo mwambie auachie,mnyika hakai na mfuko wa jimbo wee mjinga