Mnyika unalalamika 'charge sheet' kutotaja kiasi cha pesa Mbowe alichofadhili ugaidi; hii ni sababu ya kutokuwa na hatia?

Kuna masuala ya ajabu sana huwa yanachanganya sana. Maana mwanasiasa ambaye ni katibu mkuu wa chama kikuu cha upinzani kulalama huku akiwa hana hoja zenye mashiko ni kukosa busara.

Mnyika analalama kuwa Charge sheet ambayo ameshitakiwa nayo Mbowe haijataja figure kamili ya pesa ambazo Mbowe alizifadhili ili ugaidi kufanyika. Hivyo rais amfutie mashitak. Je, hoja kama kama hii ina mashiko? Huku ni kukuosa uelewa wa mambo.

Kutotaja kiasi cha pesa hakuondoi kosa la mshitakiwa kama Charge sheet inaeleza kwa ufahasa kifungu kilichovunjwa. Labda kama kungekuwa na mkankanyiko juu ya kosa husika na kiasi gani cha pesa kilichotumika.

My take: Viongozi wa Chadema wamekosa busara, hivyo wasilete papara kushughulikia masuala ya kisheria.
Charge sheet:
Name of accused: X Y
Age: 34 years
Tribe/Nationality: Z/W
Religion: B
Address: F Village, H District, I Region
Offence, Section and Law: Stealing contrary to section 265 of the Penal Code.
Particulars of Offence: X Y, on or about July 10, 1982, at about 5:00 pm at Mkwajuni, within the township, district of H and region of I, stole a bicycle at Sh12,500, the property of R T.

Sgd
Public Prosecutor
Date 4.7.82.
 
Mh? Kwa hiyo kama offence ni stealing alafu bei ya kilichoibiwa haipo kuna shida?
 
Kiongozi, tuelimishane. Kwa upande mwingine, ukisema umeibiwa pesa na aliyeiba ni x na kiasi ulichoibiwa hukutaja na tuseme x akasema hajaiba na akadai kama ameiba ni kiasi gani (ambacho wewe hukutaja), hapo ushahidi wako utasimamaje)? Ref Kitabu 'A Magistrates's Manual' by B.D Chipeta (TMP Book Department, Tabora, Tanzania) ukurasa wa 9 na 10. Anaongelea correct na defective charge sheets.
 
Mimi sio mfuasi wa Chadema wala sidhani kama wanaweza kuongoza nchi hao jamaa...Lakini hao ni Watanzania Wenzetu..Yule Mbowe kwasasa ni Mzee ana miaka nadhani 61.

Sijui Kama kweli yule bwana ni Gaidi...njama za kuua ni nzito na kulipua vituo vya watu ..Haya Yote ni masuala ya kuchunguzwa kwa kina..Kuendelea kuwakandamiza hawa sio tiba tunatunza hazina ya hasira na chuki na wao wana watu wao....Na Ni Watanzania badala ya kuponya tunajenga chuki na uhasama.

Mawazo mbadala hata kwa familia yapo...Tujihami sana na kuendelea na chuki ni mbaya...Wala tusijione tunastahili zaidi kuliko wengine katika nchi hii...
 
Idugunde

Ficha kidogo ujinga wako kama hujui uliza
Tunahtaji solid evidence ,amefadhiri shingapi zilienda kwanan nani alipokea alilipwa

Mnatuboa sana

Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
Maswala ya undani wa mashtaka hutolewa wakati wa usikilizaji(hearing) hapo ushahidi pamoja na maelezo na mashahidi huletwa,then zamu ya utetezi itakuja huo ndio muda mwafaka wa wao kujibu na kujitetea. kwa hiyo hoja ya mnyika ni premature.
 
subilini cross examination

mtaonesha tu
Hofu yangu isijekua kama ya yule jamaa yenu

Umesoma sayansi ndio
Kwann mwanaume akikojoa ili tone lamwisho litoke lazima itikiswe akatoa macho makubwa

Hakimu-jibu ulichoulizwa

Namkumbuka lisu

Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
 
Kiongozi, tuelimishane. Kwa upande mwingine, ukisema umeibiwa pesa na aliyeiba ni x na kiasi ulichoibiwa hukutaja na tuseme x akasema hajaiba na akadai kama ameiba ni kiasi gani (ambacho wewe hukutaja), hapo ushahidi wako utasimamaje)? Ref Kitabu 'A Magistrates's Manual' by B.D Chipeta (TMP Book Department, Tabora, Tanzania) ukurasa wa 9 na 10. Anaongelea correct na defective charge sheets.
Nafikiri hoja ya msingi ni kama kutotaja kiasi alichofadhili Mbowe ni sababu ya kumfanya kutokuwa na hatia.

Mtu kuibiwa kiasi cha pesa alafu ikajakujulikana kuwa aliibiwa kiasi fulani wakati wa Ph na Hearing sio tatizo.
 
Kuna masuala ya ajabu sana huwa yanachanganya sana. Maana mwanasiasa ambaye ni katibu mkuu wa chama kikuu cha upinzani kulalama huku akiwa hana hoja zenye mashiko ni kukosa busara.

Mnyika analalama kuwa Charge sheet ambayo ameshitakiwa nayo Mbowe haijataja figure kamili ya pesa ambazo Mbowe alizifadhili ili ugaidi kufanyika. Hivyo rais amfutie mashitak. Je, hoja kama kama hii ina mashiko? Huku ni kukuosa uelewa wa mambo.

Kutotaja kiasi cha pesa hakuondoi kosa la mshitakiwa kama Charge sheet inaeleza kwa ufahasa kifungu kilichovunjwa. Labda kama kungekuwa na mkankanyiko juu ya kosa husika na kiasi gani cha pesa kilichotumika.

My take: Viongozi wa Chadema wamekosa busara, hivyo wasilete papara kushughulikia masuala ya kisheria.
Shetani hana rafiki , Nape alikuwa Katibu Mwenezi wa ccm , lakini alimanusura auawe , sasa wewe masikini kapuku mtozeni endelea kushangilia uonevu
 
Dada acha hasira, jikite kwenye ukweli. Najua hapo Desderia hotel mna hasira kali baada ya mwamba kudakwa.
 
Nimekuonya kwa huruma tu , kama Kinana na Makamba walitukanwa na Magufuli , wewe mnyonge unajiamini nini ?
 
Tulia bi mdogo, hapa tunajadili watuhumiwa wa uhalifu wanaofadhili magaidi na magaidi kwa ujumla.
 
Back
Top Bottom