Sungurawembe
JF-Expert Member
- Apr 10, 2008
- 414
- 55
Kuanzia kesho utamuona
Ile kampuni yenu ya chalinze msoga transportation bado IPO??
Moja kati ya waliokuwa waongeaji wakubwa wa chadema ni john mnyika....ila siku za hivi karibuni amekuwa kimya sana tena tangu kuteuliwa na EL kugombea nafasi ya urais kupitia chama hicho....hata kwenye mikutano ya chama hicho tunamuona sio yule aliyekuwa akiwa na fujo hasa pale linapotamkwa neno PIPOZZZZZ ..BAVICHA mtueleze huyu ni kiongozi wetu tunahitaji kujua au ndo kapigwa benchi...
Mnyika alidai ana Ushahidi wa Ufisadi wa Lowasa, Sijui bado anao?
Moja kati ya waliokuwa waongeaji wakubwa wa chadema ni john mnyika....ila siku za hivi karibuni amekuwa kimya sana tena tangu kuteuliwa na EL kugombea nafasi ya urais kupitia chama hicho....hata kwenye mikutano ya chama hicho tunamuona sio yule aliyekuwa akiwa na fujo hasa pale linapotamkwa neno PIPOZZZZZ ..BAVICHA mtueleze huyu ni kiongozi wetu tunahitaji kujua au ndo kapigwa benchi...
Ameuhifadhi kwa muda mrefu. Sasa hauhitajiki tena maana mtuhumiwa yupo kwao
Naye amepumzika, atawakuta wakombozi wa kweli mbele ya safari.
Hii nchi ina bahati mbaya sana yakuwa na viongozi "MOTO WA MABUA"
Hii ni kafara iliyoko pale MAGOGONI.
Kuanzia kesho utamuona
Moja kati ya waliokuwa waongeaji wakubwa wa chadema ni john mnyika....ila siku za hivi karibuni amekuwa kimya sana tena tangu kuteuliwa na EL kugombea nafasi ya urais kupitia chama hicho....hata kwenye mikutano ya chama hicho tunamuona sio yule aliyekuwa akiwa na fujo hasa pale linapotamkwa neno PIPOZZZZZ ..BAVICHA mtueleze huyu ni kiongozi wetu tunahitaji kujua au ndo kapigwa benchi...
mnyika mwaka wake,tunataka zile nyaraka alizokuwa amezishika 2010 ubungo zikionyesha ufisadi wa lowasa lazima atuonyeshe ,asipokuja nazo ajipange kuachia jimbo,
tunamkaanga ubungo na zile nyaraka zake kama anazani tumesaau bado atajutia kuwa na msanii mbowe,
tunamkaanga ubungo na zile nyaraka zake kama anazani tumesaau bado atajutia kuwa na msanii mbowe,
Moja kati ya waliokuwa waongeaji wakubwa wa chadema ni john mnyika....ila siku za hivi karibuni amekuwa kimya sana tena tangu kuteuliwa na EL kugombea nafasi ya urais kupitia chama hicho....hata kwenye mikutano ya chama hicho tunamuona sio yule aliyekuwa akiwa na fujo hasa pale linapotamkwa neno PIPOZZZZZ ..BAVICHA mtueleze huyu ni kiongozi wetu tunahitaji kujua au ndo kapigwa benchi...
mnyika ni chipukizi la slaa hana amani tena hapo. bila shaka muda sio mrefu tutamsikia kaibukia ACT wazalendo. ni suala la muda tu.Moja kati ya waliokuwa waongeaji wakubwa wa chadema ni john mnyika....ila siku za hivi karibuni amekuwa kimya sana tena tangu kuteuliwa na EL kugombea nafasi ya urais kupitia chama hicho....hata kwenye mikutano ya chama hicho tunamuona sio yule aliyekuwa akiwa na fujo hasa pale linapotamkwa neno PIPOZZZZZ ..BAVICHA mtueleze huyu ni kiongozi wetu tunahitaji kujua au ndo kapigwa benchi...
Huwezi kujua alipo kwani chadema haikuhusu we endelea kufwatilia habari za maccm ukawa is non of your business