Mnyika uko wapi?

Mnyika uko wapi?

Maramla

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2014
Posts
588
Reaction score
648
Moja kati ya waliokuwa waongeaji wakubwa wa chadema ni john mnyika....ila siku za hivi karibuni amekuwa kimya sana tena tangu kuteuliwa na EL kugombea nafasi ya urais kupitia chama hicho....hata kwenye mikutano ya chama hicho tunamuona sio yule aliyekuwa akiwa na fujo hasa pale linapotamkwa neno PIPOZZZZZ ..BAVICHA mtueleze huyu ni kiongozi wetu tunahitaji kujua au ndo kapigwa benchi...
 
Yupo tu anatafakari atoke vipi kimasomaso..
 
moja kati ya waliokuwa waongeaji wakubwa wa chadema ni john mnyika....ila siku za hivi karibuni amekuwa kimya sana tena tangu kuteuliwa na el kugombea nafasi ya urais kupitia chama hicho....hata kwenye mikutano ya chama hicho tunamuona sio yule aliyekuwa akiwa na fujo hasa pale linapotamkwa neno pipozzzzz ..bavicha mtueleze huyu ni kiongozi wetu tunahitaji kujua au ndo kapigwa benchi...

hahitajiki na mmiliki mpya wa chadema
 
watu wako busy majimboni ninyi mko bize mitandaoni ... Subirini kesho
 
Leo mabasi yote ya Dar express na Mtei express ya huku Arusha yamekodishwa na Lowassa na team yake kupeleka watu Dar bure go and return kwa ajili ya mkutano wa kesho jangwani. Watalipiwa pia malazi na chakula kwa siku hizi mbili yani leo na kesho. Mwaka huu tutashuhudia mengi, hizo pesa zote sijui zitarudishwaje.
#kataafisadikwendaikulu

Wanachukuliwa eneo gani?Uongo mwngine bhana.
 
Ningetamani jf mje na mapya kila leo yaliyopita alaf unaweka date ya leo ninyi vp
 
Hamjua kinachoendelea ,sasa hii ndio safari ya mwisho kupataulaji kilamoja anafanya kususa ili apate ulaji.WANASEMA KAMA WAMEKULA NA WAOWAPEWE ----- MTOZENI
 
Back
Top Bottom