Mnyika: The majority Political Dream

mnyika ni mwanasiasa mwenye uwezo mkubwa sana,hana majivuno,msikivu na makini.sio muoga il a anaheshimu viongozi wenzake na katiba ya chama.atafika mbali sana kisiasa.uenyekiti wa chama utamfuata bila kuupigania kama jinsi urais wa Tanzania unavyomfuata Dr Slaa bila kulazimisha
 
Reactions: Ame

Huwa napenda sana nimjue huyu kijana asili yake maana naujasili wa kutosha
 
umenielimisha zaidi,kwa uwezo wake kisiasa na kimaadili na anavyokubalika basi jama mwingine angeleta vurugu cdm.mungu awe nae.
 
ndo mana nataka mnyika awe mwenyekti wa chama changu nikachoanzisha mapema mwaka huu
kwani ni shupavu na jasiri na hana mpinzani kabisa
 
mnyika anajua umuhimu wakuheshimu viongozi wake harafu kingine jamani ladhima mjue kabisa muda alioishi mnyika hapa bongo ni mkubwa so sio mgeni wa jiji,,,,sasa kuna wengine shule ndio iliwaleta hapa hilo ni tatizo kubwa sana ama mjue mAskini akipata makalio huota mbatata
 
Mnyika anaweza maana anajua umuhimu wake and anajua kuwa mwenyekiti ama katibu wa chama si mtu wakumbeza nakumkebehi,,,,,,,,
 

msukule wa mbowe na slaa
 
Nimeipenda hiyo ungekua karibu ningekupa hata kibana kadhaa wakuburudishe
 
Ni mwana harakati zaidi kuliko kiongozi!!!!!!!
Ameongoza/ anaongoza nini so far!!!???

Kama mnamoenda mshaurini akasome kwanza maana yeye umri wake mdogo sasa siasa za huko tuendako
hakuna maneno tupu!!!!!!

Vipaji na elimu pamoja hii kusema tumpe sababu ana hili na lile itafikia mwisho!!!!
 

Ni mtatuzi wa matatizo ya wananchi wake.
 

Siku hizi Wachambuzi wa Kisiasa mmekuwa wengi sana...........Yaani unaandika kabisa hana mpinzani halafu unaweka sifa ya ''UTANASHATI''.........Halafu unakosea sana, kashifa ni nini?mtana shati ilipaswa kuwa mtanashati nadhani ''prau'' ulimaanisha pray..

Mnyika ana sifa zake nzuri ila wewe jinsi ulivyoweka hii post unamharibia Mh.Mnyika.

Pia ukitaka kumchambua mtu mbele za watu angalia pande zote mbili...
 
Yap, hata maccm nimewasikia wakimsifu kwa dhati...Werema alimfananisha na Nyerere, Anna Abdalah anasaidia sana bungeni ! walimsifia Live ktk TV! Sio hizi sifa za Zitto kusifiwa na maCCM kwakusaliti chama!
 
ataendelea kua mzuri mpaka pale atapoenda kinyume na maagizo ya mbowe na slaa ndipo ataitwa mhain,,,
to me!,,,he z jst a coward,,,,anapelekwa hajielew!
hebu na wewe ingia kwenye siasa tuone ujasiri wako...acheni wivu wa kike
 
Zitto alijua mapema juu ya uwezo wa Mnyika kuja kumfunika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…