Mnyika: Serikali imefeli mpango wa umeme

Dotto C. Rangimoto

JF-Expert Member
Nov 22, 2012
1,985
1,286


* Mpango wa miaka 5 ulidhamiria kuzalisha umeme MEGAWATT 2780
* Kila mwaka ilitakiwa MEGAWATT 556
*Serikali imeongeza MEGAWATT 496.24
*Serikali inahitaji miaka 13 kutekeleza mpango wa awali
*Rushwa katika sekta ya uzalishaji umeme

#NishatinaMadini
 
Maendeleo yana gharama zake. Kuwang'oa mafisadi waliojikita kwenye umeme na sasa serikali inazalisha umeme wa ziada si kazi bure. Kukwama kwa mpango ni jambo jingine lakini kutosheleza mahitaji ya umeme ni jambo kuu zaidi
 
Hivi Act ni chama cha siasa au Ngo ya Zitto.

Maana kila mkoa hapa ni kupost mambo ya wabunge wa Chadema.
 
Serikali ya ccm imeshindwa kwenye sekta ya umeme,zaidi ya robo tatu ya wakazi hawana umeme huko vijijini ndio kabisaa,unaopatikana mjini not reliable lakini pia kuna lundo la maombi ya wateja wapya lakini Tanesco inajikongoja hapa wamefaulu kwa lipi hasa? Mbaya zaidi kuna utitiri wa vyanzo vipya vya makaratasi haijulikani upi ni upi,ni vigumu sana kuelewa wanachofanya ccm ukawa comvinced
 
Umeme utapatikana wa kutosha na ziada acheni siasa kila kitu mnakosoa tu mbona sasa hivi hampongezi hakuna mgawo.
 
Maendeleo yana gharama zake. Kuwang'oa mafisadi waliojikita kwenye umeme na sasa serikali inazalisha umeme wa ziada si kazi bure. Kukwama kwa mpango ni jambo jingine lakini kutosheleza mahitaji ya umeme ni jambo kuu zaidi
Fisadi prof.muhongo mmempa wizara alafu mnaota ndoto za mchana.
 
Nashukuru tu kuwa sasa hakuna mgao wa umeme, at least ninapoishi hakuna mgao wa umeme. Kwa sisi tulio neutral ambao hatuna uccm wala uchadema, tuniona tofauti.
 
Na huku vijijini tulipo wengine REA imepamba moto hadi kero sasa..sijui mikoa mingine ila vijiji vya Lindi na mtwara REA ni balaa aisee
 
Back
Top Bottom