hivi nyinyi vijana Lumumba ni WA nchi hii ni maslahi tumbo.
nchi inaangamia nyie hamuoni
uvunjifu WA katiba wazwazi
utekaji
uchumi kuanguka
viwanda imekuwa VI wonder
ajira hamna
nyongeza Za mishahara hamna
mfumuko WA bei
nyie haya mnaona yanaletwa Na upinzani
Nakupa mfano
Ivi mfano nyie kwenu mnaishi kila siku kwa milo mi3
Siku baba ako akaanza project ya maendeleo ili muondokane na umasikini kwa kubana matumizi ya nyumbani, so badala ya ma3 mkawa mnakula mara2
Je utalalamika??, au utaona anatenda la maana ili mtajilike baadae
Af unavyo sema watekaji ni serikali, nakupa tukio kama fundisho
Ivi wale police walivyouwawa na siraha nzito. Aliewatuma wale majambazi ni nani????, je ni serikali au ni mtu mwenye nguvu ya kuwa na hizo siraha. Kama ni mtu mwenye nguvu na hizo siraha, je hajawahi kuteka mtu, na kumbuka upinzani wanajua kabisa kuwa wakiteka mtu yoyote serikali itafikiliwa ndo imefanya
Af kingine ni kuwa ni rahisi kwa mtu kuleta malalamiko na kupinga kuliko kuleta hoja za maendeleo, ni kama unavyosema uchumi umedorola. Ivi unajiongelea wewe au nchi nzima
NB;
Mpinzani ni yeyote yule asiokubaliana na serikali na sio lazima awe na chama
Na mtu mwenye kufikiria atafikiria mara3 kuhusu ile insue ya ROMA kuachiwa.
1. Je aliachiwa na Makonda maana aliahidi atampata kabla ya jpili???? Ilihali kila mtu akashauku baada2 ya yeye kusema hivyo
2. Je majambazi walichukua kauli hiyo kama opportunity ya wao wasidhaniwe kabisa
3. Je kuna bifu kati ya Roma na serikali???