Mnyika, please take few steps ahead and you are there... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mnyika, please take few steps ahead and you are there...

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Tuko, Aug 10, 2011.

 1. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #1
  Aug 10, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Wengi tunatambua na kuukubali uwezo wa kisiasa wa John Mnyika. Alipoingia bungeni tuliamini kuwa ndiyo chance ya kufaidi zaidi uwezo wa kijana mwenzetu. Miezi kadhaa, sasa kijana anafanya vizuri, lakini mimi namwambia sasa aende mbele zaidi, na atafikia kiwango.

  "Nina ushahidi kuwa baadhi ya maofisa wa serikali wamepewa rushwa kuhusiana na sakata hili la mafuta"... Ni kauli ya Mnyika jana bungeni. Mh. Mnyika naamini sasa kwa ukomavu wako hukutakiwa sentensi hiyo uimalizie hapo, bali uliitakiwa uwataje kwa majina waliotoa na kupokea hiyo rushwa, kiasi kilichotolewa, na ikiwezekana siku na mahali. Hicho ndicho kiwango cha ujasiri alichonacho mwenzio Mh Zitto, tokea alipodhihirisha hivyo katika lile sakata la Karamagi.

  Mh. Mnyika uwezo unao, na tunategemea utakuwa mchezaji muhimu katika vita hii dhidi ya ufisadi. Naamini hadi sasa umeshajua namna ya kupambana na risks za kuwavaa mafisadi. Game bado ni mbichi, na kwa sasa bado inamtegemea sana Zito peke yake. Tumeona jinsi maveterani walivyoanza kuchoka; kina Kilango, Ole Sendeka, Lembeli nk. Kupotea kwa akina Kimaro na Selelii kumesababisha timu kupwaya sana.

  Ni matumaini yangu kuwa kwa sasa vijana wakiongozwa na Mnyika wata-cope mapema na kumpa taf Zito. Nisisahau kumpa big-up Kafulila ambaye naye anaonekana kung'ara kwa haraka sana katika hili game. Keep it up Kafulila. Kazi nzuri pia inafanywa na ndugu yangu Wenje.

  Mnyika, please step ahead, and you will be at that level we need...
   
 2. m

  mndeme JF-Expert Member

  #2
  Aug 10, 2011
  Joined: Sep 2, 2008
  Messages: 322
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  No comment!

  Nadhani amekuelewa vizuri
   
 3. Sakijoli

  Sakijoli Member

  #3
  Aug 10, 2011
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Well done , Zitto, Kafulila, Mnyika na mtoa Mada
   
 4. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #4
  Aug 10, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Safari za ukombozi zinahitaji vijana wenye nguvu kama hawa...
   
 5. Blaque

  Blaque Senior Member

  #5
  Aug 10, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 103
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
  Kizazi cha dot com ni hatari hawa vijana si wavivu kabisa ,watachangia kuongezeka vijana 2015 i like them all,tuwape support walete maendeleo ya kweli vijana ndio chachu ya maendeleo all over the world
   
 6. e

  ebrah JF-Expert Member

  #6
  Aug 10, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 397
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  ni ya kweli kabisa mtoa mada, lakini ushauri wa ziada mnyika, ukishauriwa changanya na akili yako, fanya maamuzi
   
 7. T

  Taifa_Kwanza JF-Expert Member

  #7
  Aug 10, 2011
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 443
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ila wakati huo huo wakae wakijua kwamba wakijaribu kufanya usaliti wa namna yoyote ile.
  adhabu yao itakuwa kali na ya kustaajabisha kuliko ambayo wanaiandaa sasa dhidi ya mafisadi.
   
 8. e

  ebrah JF-Expert Member

  #8
  Aug 10, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 397
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  ni ya kweli kabisa mtoa mada, lakini ushauri wa ziada mnyika, ukishauriwa changanya na akili yako, fanya maamuzi
   
 9. REBEL

  REBEL Senior Member

  #9
  Aug 10, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 164
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  mnyika alinganishwi na zitto analingwanishwa tu nyerere.halafu na nyinyi wengine amuoni kuna vijana wengine machachari kama mchali,kafulila,wenje,filopo njombe,mchungaji msingwa na mkosamali.
   
 10. H

  Hurricane Member

  #10
  Aug 10, 2011
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 52
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kweli inabidi aende mbele zaidi tuwafahamo hao wezi/wala rushwa. Ila mie nadhani alikuwa anamtega say spika/Naibu spika/Mwenyekiti aliyekuwa akiongozo huo mjadala aombe vithibitisho kama kawaida yao then awaumbue wavikalie.
   
 11. mimyv

  mimyv Member

  #11
  Aug 10, 2011
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  pamoja na yote, makelele ya wananchi kumsifia yasimfikishe pabaya...tetea tu haki za watu itakua inatosha jus avoid exaggeration
   
 12. Ciril

  Ciril JF-Expert Member

  #12
  Aug 10, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 5,536
  Likes Received: 1,468
  Trophy Points: 280
  Kwa mwendo huu wa umakini,tutakaba mpaka kimvuli.CCM ilishatuchosha vya kutosha
   
 13. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #13
  Aug 10, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  mkuu hujasomeka vizuri. una maanisha nini kwenye red?
   
 14. Prof Gamba

  Prof Gamba JF-Expert Member

  #14
  Aug 10, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 390
  Likes Received: 114
  Trophy Points: 60
  Well said mtoa mada, vijana wengi wanatuwakilisha vema mjengoni. Waongeze bidii na umakini na 2015 idadi lazima iongezeke. Big up J J Mnyika.
   
 15. F

  FUSO JF-Expert Member

  #15
  Aug 10, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,867
  Likes Received: 2,340
  Trophy Points: 280
  Hoja si kuwataja, hoja ni kwamba kuna rushwa kubwa kwenye sekta hii ya mafuta. cha msingi nyie si mna TAKUKURU YENU - wapo vijana wengi tu wanapokea mshahara hawana kazi ya kufanya, wamfuate mh. Mnyika awape data then muone kama watamkamata na kumfikisha mtu mahakamani.

  Ndugu yangu waliotoa na waliopokea rushwa hii si watu wadogo kama unavyofikiria wewe, hii nchi ndugu yangu iache kama ilivyo: Mh. John you have done your duty brother. achana na hawa waliotaka eti mpaka uwatajie majina ndiyo wahakikishe umewafanyika kazi ya uwakilishi wa umma.
   
 16. REBEL

  REBEL Senior Member

  #16
  Aug 10, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 164
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  <br />
  <br />
  sasa hujaelewa nini,wewe kilaza?
   
 17. L

  Luiz JF-Expert Member

  #17
  Aug 10, 2011
  Joined: May 23, 2011
  Messages: 342
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  <br />
  <br />
  mweleweshe wewe basi ambaye sio kilaza.
   
 18. J

  JB Member

  #18
  Aug 10, 2011
  Joined: Jul 28, 2009
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Big up Mnyika
   
 19. K

  Karry JF-Expert Member

  #19
  Aug 11, 2011
  Joined: Mar 26, 2011
  Messages: 266
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  kwa utekelezai tu sasa bro mnyika
   
 20. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #20
  Aug 12, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180

  Hapa ndipo nchi inaposhindwa kusonga mbele kwa sababu ya kuogopana. Pinda alisema wenye Kagoda wakipelekwa mahakamani nchi itatikisika! Dr Hosea alishakiri kuwa kuna watu hawawezi kuguswa. Alafu na wewe unatuambia kuwa wanaopokea rushwa ni watu wakubwa hivyo tuwaogope! Kuwaogopa kwetu ndiko kunakotufanya tunashinda na kukesha bila umeme, tunakosa mafuta ya magari, tunazidi kuwa masikini na vitu vinapanda bei kila siku.
  Sidhani kama una nia njema kumshauri Mnyika na wabunge wengine waishie tu kusema 'tunawajua wala rushwa' unless wewe ni mmoja wao na unaogopwa kutajwa. Kutajwa kwa Jairo mbona hakuna mtu amedhurika!? Zitto na Slaa wanaongoza kwa kuwataja wala rushwa na wabadhirifu, na kwa kiasi kikubwa imesaidia. So acha uoga, Mnyika ni mtu mzima, tena mwanaume, hatakiwi kuogopa bali apambane kiume...
   
Loading...