Tuko
JF-Expert Member
- Jul 29, 2010
- 11,180
- 7,354
Wengi tunatambua na kuukubali uwezo wa kisiasa wa John Mnyika. Alipoingia bungeni tuliamini kuwa ndiyo chance ya kufaidi zaidi uwezo wa kijana mwenzetu. Miezi kadhaa, sasa kijana anafanya vizuri, lakini mimi namwambia sasa aende mbele zaidi, na atafikia kiwango.
"Nina ushahidi kuwa baadhi ya maofisa wa serikali wamepewa rushwa kuhusiana na sakata hili la mafuta"... Ni kauli ya Mnyika jana bungeni. Mh. Mnyika naamini sasa kwa ukomavu wako hukutakiwa sentensi hiyo uimalizie hapo, bali uliitakiwa uwataje kwa majina waliotoa na kupokea hiyo rushwa, kiasi kilichotolewa, na ikiwezekana siku na mahali. Hicho ndicho kiwango cha ujasiri alichonacho mwenzio Mh Zitto, tokea alipodhihirisha hivyo katika lile sakata la Karamagi.
Mh. Mnyika uwezo unao, na tunategemea utakuwa mchezaji muhimu katika vita hii dhidi ya ufisadi. Naamini hadi sasa umeshajua namna ya kupambana na risks za kuwavaa mafisadi. Game bado ni mbichi, na kwa sasa bado inamtegemea sana Zito peke yake. Tumeona jinsi maveterani walivyoanza kuchoka; kina Kilango, Ole Sendeka, Lembeli nk. Kupotea kwa akina Kimaro na Selelii kumesababisha timu kupwaya sana.
Ni matumaini yangu kuwa kwa sasa vijana wakiongozwa na Mnyika wata-cope mapema na kumpa taf Zito. Nisisahau kumpa big-up Kafulila ambaye naye anaonekana kung'ara kwa haraka sana katika hili game. Keep it up Kafulila. Kazi nzuri pia inafanywa na ndugu yangu Wenje.
Mnyika, please step ahead, and you will be at that level we need...