unataka aje kuongoza magari kama trafiki?
Utamsubiri hadi Yesu arudi. Mkiambiwa CHADEMA ni walaghai mnadhani tunatania.
Waulize wenzako wa Ubungo kama wameshatimiziwa ahadi hata moja. Wakiuliza wanajibiwa siyo kazi ya mbunge ni ya serikali.
kwaiyo unataka Mnyika atoe pesa yake mfukoni? kwani msaada huo? acha shobo!
mtoa uzi kama kweli unania ya dhati basi ingia kwenye ukurasa wa fb wa mbunge wako uchukue no ya simu upige uone utajibiwa nn, inawezekana hata hizo taarifa hazipo ofcn kwake,,,
S3
usitake kutetea ujinga hujui jukumu la mbunge? Wenzake wanafanya nini kukabiliana na matatizo ktk majimbo yao?
Filikunjome madiwani wote amewanunulia pikipiki mpaka wa chadema. Kwajiri ya kuzunguka na kusikiriza matatizo ya wananchi anatumia hela ya nani?
Hujua kila mmbunge huwa anapewa pesa la kuendeleza jimbo lake yeye ameleka wapi?
Mnyika hafai tu.
Kwanza wewe ni uongo halafu ni shabiki wa ccm. barbar unayoisema iko chini ya diwani wako wa ccm.Mnyika haongozi magari hiyo ni kazi ya traffic
Yaani watu wote wamemchoka hawamtaki tena.
Anashindwa hata na Halima Mdee Yuko karibu na jimbo lake njia hazipitika anaweka karavati na kuzuia uchimbaji hovyo wa mchanga.