CHADEMA Mpya
Member
- Jun 5, 2012
- 84
- 22
Kuna watu wanadhani upinzani maana yake ni kupinga kila kitu...
Myika lini aliwahi kuunga mkono jambo la serikali? Ye anadhani kuitwa mpinzani ni kupinga kila kitu! Tumemzowea!
Una sumu hapo?Aliposema JK ni dhaifu aliwahi kuungwa mkono na aliyekua msimamizi mkuu wa shughuli za serikali Bungeni aliyelazimika kujiuzulu kwa kashfa ya RICHMOND .Aliungana na Mnyika kwa kusema kweli Serikali ina ugonjwa mbaya,ugonjwa wa kufanya maamuzi.
So acha upotoshaji rejea kwenye vyanzo vyako tena.
Mnyika ni mhuni wa kawaida tuhakuna noma kamanda wetu mnyika tuko pamoja nanyi mpaka kieleweke
Hizi sheria za kijinga zimetungwa na kupitushwa na wabunge wa Ccm, ambao kazi yao ni kulala na wakishutuka wanasema ndioooooo! Sasa imefika mahali wabunge walio na mapenzi mema na nchi hii warudi bungeni na kukataa hizi sheria kandamizi kwa nguvu zote, kupiga kelele mitaani haitasaidia sanaKatika ukurasa wake wa Facebook Mh.John Mnyika ameandika" Jana nilihutubia Kigamboni Mji Mwema, wananchi wameunga mkono kupinga kufungiwa kwa gazeti la Mtanzania na Mwananchi. Nimetaka na gazeti la MwanaHalisi lifunguliwe.
Sheria mbovu kama hazibadilishwi zinapaswa kupingwa kwenye mahakama ya umma na mahakama za kawaida. Mahakama za kawaida huchukua muda mrefu, je tunajua kwamba MwanaHalisi walifungua kesi mpaka sasa hukumu bado?"
unataka ya nin mkuu?Una sumu hapo?
kama mwigulu na nape tu!Mnyika ni mhuni wa kawaida tu
Aliposema JK ni dhaifu aliwahi kuungwa mkono na aliyekua msimamizi mkuu wa shughuli za serikali Bungeni aliyelazimika kujiuzulu kwa kashfa ya RICHMOND .Aliungana na Mnyika kwa kusema kweli Serikali ina ugonjwa mbaya,ugonjwa wa kufanya maamuzi.
So acha upotoshaji rejea kwenye vyanzo vyako tena.
Myika lini aliwahi kuunga mkono jambo la serikali? Ye anadhani kuitwa mpinzani ni kupinga kila kitu! Tumemzowea!
Kuna watu wanadhani upinzani maana yake ni kupinga kila kitu...
We Ben mtu akikuangalia kwa harakaharaka anaweza kudhani mtu mwenye busara,hekima na unafanya mambo ki taaluma! Kumbe huna lolote kichwani (brain washed) hiyo hoja unayoiweka hapa ina uhusiano gani na nilichopost hapo? Tumia ubongo kufikiri sio masharubu!
Utaunga vip mkono jambo linalonyima haki ya watu?
Katika ukurasa wake wa Facebook Mh.John Mnyika ameandika" Jana nilihutubia Kigamboni Mji Mwema, wananchi wameunga mkono kupinga kufungiwa kwa gazeti la Mtanzania na Mwananchi. Nimetaka na gazeti la MwanaHalisi lifunguliwe.