mbona vifungu vingi vimebadilishwa kutokana na hoja za mnyika,mpaka mjadala ukaahirishwa mpaka jioni ya leo> bahai mbaya nyie ccm mmechukuwa umeme wenu hatujui kinacho endelea,kwa sababu uwelewa wenu wa ccm ni mdogo hamna tofauti na viti maalum vya ccm