Mnyika na Zambi: Hodari na makini ktk uchangiaji Muswada wa Manunuzi ya Umma

mbona vifungu vingi vimebadilishwa kutokana na hoja za mnyika,mpaka mjadala ukaahirishwa mpaka jioni ya leo> bahai mbaya nyie ccm mmechukuwa umeme wenu hatujui kinacho endelea,kwa sababu uwelewa wenu wa ccm ni mdogo hamna tofauti na viti maalum vya ccm
 
Mnyika ni jembe la ukweli hata magamba wanajua kuwa ni mtu makini anayechambua hoja sijapata kuona. Bravo mnyika.
 
Back
Top Bottom