Mnyika na Usafiri wa Treni Jijini Dar es Salaam...

Mwakyembe kakurupuka railway ilimwambia nauli ilitakiwa iwe 800 yeye hataki , mradi ulikuwa bado ulikuwa ukamilike mpaka mwakami yeye kakurupuka kalazimisha uanze mwaka huu kutaka sifa kubaya sana....
Juzi kqkurupuka bandarini kule kina marystella minja masikini kawaundia zengwe sijui imefikia wapi

weCTU matha-fanta...acha ujinga wewe, Mwakyembe ni aggressive, kwann kazi ilale?..we unafurahia kuona mirad inachukua ages kukamilika? Tazama wachina, project inakimbizwa iishe..!Badilika nyambafuuu! Halafu hayo mambo ya TRA yanaingiaje hapa? Kama hao kina Marystella rafiki zako nenda kawape pole, nani asiyejua kuwa vijana wa TRA wanapiga pesa pale bandarin, wasomi wazima wanaibia nchi bila huruma..me nampongeza sana Mwakyembe, Takukuru imeshindwa kazi..!Go mwakyembe, tunahitaj viongozi imara kama wewe!
 
Back
Top Bottom