Mnyika na Mdee wafanya Makubwa

Mnyika na Mdee wafanya Makubwa

Matusi hayajawahi kuondoa umasikini wa mtu , tafuta kazi kijana , hizo fanta take away za ccm hazitakusaidia chochote .

we vipi huna kipato utakaa JF? kuwa humu unahitaji bandle za kutosha, kwanza mkataba wa ajira ulishapata?
 
Sasa kama ni serikali ndiyo inayopaswa kusifiwa kwakuwa inatekeleza ilani yake iweje tena mnaumlaumu Mnyika kwasababu ya kero ya maji ya Ubungo badala ya kuilaumu serikali?

Unajua katika viongozi wa ajabu ni mdee na mnyika utashangaa wakisimama kwenye majukwaa wanasema SERIKALI HAIJAFANYA CHOCHOTE TOKA NCHI IPATE UHURU.

Hapo kwenye picha unaona wamekenua meno wakifurahia.Wakienda majukwaani wanaongea kuiponda serikali.
 
Congrats to you all...the did is extraordinary
 
KILA SIKU NASEMA BAVICHA MNAONGOZWA NA BANGI+GONGO..
huu ujenzi wa barabara ni UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM na ahadi za raisi alizozitoa kipindi cha kampeni.
sasa kwa akili yenu ya bangi na mnavyopenda kijitekenya na kujicheka wenywewe, mnajidanganya ''ETI NI JUHUDI ZA MNYIKA NA MDEE''
Hahahahahaaaaa mimi ndio maana nawadharaaaaaaauuuuuuuuuu.
hivi huyu mnyika ana kipi kitakachosikilizwa na serikali mpaka kitekelezwe??? au msagaji wenu wa kawe anaweza kuishawishi nini serikali ikatekeleza matakwa yake???
acheni upumbavu

Nadhani majibu ya utumbo wako umeyaona leo umoja na nguvu yao ulivyosababisha bunge kuahiriswa leo baada ya spika kukataa kujadiliwa kwa suala la jeshi la polisi kumpiga, kumdhalilisha na kumweka mahabusu prof. Lipumba. Spika alitaka suala hili lijadiliwe kesho 29/1/15 na sio leo. Mleta hoja bw. Mbatia alijua ujanja utakaotumiwa na serikali kwa spika kuwaachia mwanya serikali hivyo akishirikiana na wabunge wa upinzani wakadai jambo limeletwa kwa dharura na ni lazima lijadiliwe asubuhi hiyo hiyo kabla ya kusikilizwa kamati za bunge.Spika alikataa wazo lao na kusababisha kuliahirisha bunge hadi saa kumi jioni. Hata bunge liliporejea jioni lilibidi kuahirishwa tena hadi kesho. Kwa kuutumia mwanya waliopewa na spika serikali haraka haraka huku wakijua Lipumba pressure yake ilikuwa imepanda toka jana wakampitisha hospitali mwananyamala na tokea huko huko hospitalini ni moja kwa moja mahakamani kusomewa shtaka la kuandamana isivyo halali. Hata bunge liliporejea saa kumi jioni halikuweza kuendelea na kuahirishwa hadi kesho. Sasa unaweza kuona akili, busara na kuona mbali kwa wabunge wa upinzani. Walijua fika kuwa mwanya ulioachwa na spika ni kuliwezesha jeshi la polisi kumfikisha Lipumba mahakamani leo leo ili kesho watakapokutana waambiwe suala lipo mahakamani na haliwezi kujadiliwa na ndivyo itakavyokuwa kesho. Yanatimia yale yale ya akili ndogo kuongoza akili kubwa.
 
CCM inaendelea kutekeleza ilani yake ya Uchaguzi ya mwaka 2010,hongera CCM
 
Trilioni moja kujenga km55 kweli? sawa na bil 18/km, hakiyanani hili tabasamu sio la bure! yaani madabida na mnyika wanakuwa marafiki?
mkuu inawezekana hiyo trillioni 1 pamoja na kuweka mifereji pembezoni mwa barabara na madaraja na gharama zingine, Hivi hiyo barabara ya mbezi mwisho- tangi bovu ni ipi hiyo?
 
Wewe ni Mpumbavu Mkuu, hapo waliko sasa wanachoche vurugu au wanazindua jambo la maendeleo??

Tumia kichwa cha juu kufikiria!

Huenda hata hicho kingine kitakuwa si riziki kama kipo
 
we kenge kwel si mmesema wao ndo wamesimamia barabara alituahid na maji ngoja tusubir oct

Maji kamdai tezi dume maana kila kukicha yuko angani,sasa hiyo hela ya kusafiri kila kukicha si ingetumika kuchimba viima virefu
 
Back
Top Bottom