Super H
JF-Expert Member
- Oct 6, 2012
- 1,070
- 405
Nasema hivi,dar kuna majimbo mangapi?nijuavyo mimi ni majimbo 2 tu yanaongozwa na chadema.najua hakuna sehemu kuna shida ya maji kama kinondoni kwa Idd Hazzan naamini na hayo mengine kuna kero kibao,swali ni kwanini wanachadema muishio dar mkubali kila mara Mnyika tu ndio anayeleumiwa hapa Jf as if hajafanya kitu,mnashidwa nini kuwaanika na hao magamba hapa?
Nitarudi
Nitarudi