Mnyika, La hasha rais Kikwete si dhaifu bali.....

Wewe utakuwa ni dhaifu mboma unashikilia Bango hivoooo!
Mnyika kumwita raisi kikwete ni dhaifu ni mawazo yake na uhuru wake wa kikatiba. Mboma awamu hii hajaambiwa alete vielelezo vya kuthibitisha kwamba ****** ni dhaifu? Mara kibao wanaambiwa walete vielelezo!
 
Matusi ndiyo kawaida yenu na uongo ndiyo desturi zenu.

Nakwambia hivi, nioneshe Rais yeyote alichokifanya cha maendeleo ambacho Kikwete hajafanya zaidi. Nakuhakikishia huna!

nyerere aliwafundisha wazee wako wa gerezani kutumia kufuli,kabla ya hapo walikuwa wanatinga misuli tu...tuambie wewe Jk kafanya nini cha maana?
 
Umelipwa bei gani mkuu kupost hivo? JK ni dhaifu mno tena anakera angalia watoto wa marais waliopita linganisha na huyu, angalia kila tunu ya nchi hii inakaribia kufia kwake, iwe maadili, CCm, Muungano, anaglia wizi ulivyoshamiri, angalia ubinafsi ulivyoshamiri, angalia udini, ukanda, uzushi, uongo, maamuzi ya hovyo, kila kitu cha hovyo zaidi unakishuhudia kwenye utawala wake hata mwanae anatawala, angalia alivounda mtandao ulivo ivuruga ccm, angalia mfumuko wa bei, angalia misiba ya akina Kanumba ni aibu,angalia wasemaji wa ccm walivoongezeka, angalia waziri mkuu alivomkosesha madaraka, angalia uteuzi wa nafasi, YAAAANI kila Kitu kiko OVYO
 
Leo kwa mara ya kwanza katika historia ya bunge la Tanzania, Mbunge wa Ubungo kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo John John Mnyika aliamuriwa kutoka bungeni baada ya kukataa kufuta kauli yake tatanishi ya kuwa Rais Jakaya Kikwete ni Dhaifu...Hii ina maana ya kuwa kauli hii ya Myika itabaki katika hansard za bunge la Tanzania milele na milele.

Je, Mnyika kumuita Rais Kikwete Dhaifu ni sawa??

La Hasha Asilani, Mnyika alikosea sana, tena sana, kwani Rais Kikwete ni mtu (individual) na wala si serikali (executive) ama taasisi ya serikali (institution). Sote twajua moja ya majukumu makuu ya Bunge (Parliament) ni Kuisamamia serikali (Executive). Na kama Bunge ambalo Myika naye yumo ndani limeshindwa kuisimamia serikali (Executive) ambayo Myika anadai anayeiongoza ni mtu dhaifu, Je hilo bunge nalo tuliite Bunge Dhaifu?, na kama ni bunge Dhaifu lililoshindwa kusimamia Serikali Dhaifu, Je hii inamaanisha wabunge wa bunge hilo (wawe wa CCM, CDM, CUF, TLP, NCCR, UDP ama Viti Maalum awe Zitto, Mdee, Nchemba, Lembeli, Mbatia, Mwakyembe n.k) nao ni Dhaifu?.

La Hasha Asilani, kwani na aimini ndani ya bunge hilo tuna wabunge ambao si dhaifu asilani, na kuwaita dhaifu ni kumkosea mungu, kwani wanajitahidi sana kuwasilisha kero na matatizo ya wanajamii, lakini mwisho wa siku wanaangushwa na taasisi Bunge, naamini Rais Kiwete si Dhaifu Asilani ila
anaangushwa na taasisi serikali, ambayo ndani yake kuna mawaziri,manaibu waziri,makatibu wakuu, wanasheria wa serikali,wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya,wakurugenzi wa manispaa,makatibu tawala na wafanya kazi wavivu wa taasisi za serikali.

Kama Rais Kikwete angekuwa Dhaifu basi bajeti ya mwaka huu ingesomwa na Mustafa Mkulo.
Huyo Mkulo alimtoa kwa ridhaa yake? siku zote alikuwa wapi asione kuwa Mkulo hafai? huo ni udhaifu wakutoona kuwa watendaji anaowateua kuwa hawafai. Heri ya mzee ruksa tutamkumbuka kwa kutuondolea midabwada tukaonekana smart kwa kuvaa mitumba kuliko huyu muimba mashairi yasiyo na maana
 
Kuendelea kuichekea serikali ya CCM na kiongozi wao dhaifu ni ujinga angalau Mnyika umesema ukweli na utabaki kwenye kumbukumbu kuwa Kikwete ni mdhaifu kashindwa kuiongoza nchi na hii serikali yake legelege...hivi hawa watoto wana matumaini gani?

View attachment 56860
CCM hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee​
View attachment 56861
Dogo wabunge wako wanashinda kutukana chama cha upinzani.

Kidumu chama Tawala CCM kwa hali hii sioni mbele,ila kinaweza kudumu kwa ubabe na wizi wa kura,ila wenye nchi wasipokubali mvutano ndio utakaoleta umwagaji damu
 
Rais mdhaifu, wabunge wa CCM ni wapuuzi .... okay!!!! who fkn cares??? Jadilini mambo ya maana nyie mafala!! hamuoni kuwa mnapotezea watu muda?
Shenzi type!!
 
Muulize hata Waziri Mkuu atakwambia kuwa Rais wetu ni dhaifu tena sana.Nakuomba ufute kauli yako kwamba mkuu wetu wa kaya si dhaifu.Ninachoweza kukubaliana na wewe ni kwamba Rais wetu ni rijali basi!
 
Uliyeleta hii mada sidhani kama unayafahamu vizuri mapungufu na udhaifu wa serikali ya kikwete na unashindwa kuelewa mfumo mzima unaotumika kati ya raisi wako na wabunge. Umekurupuka sana na hujui ulichokiongelea hapo pengine unapewa posho au ni kati ya watu wagumu wasiopenda kuona ukweli ambao upo wazi sana.

Kikwete ni dhaifu sana na inabidi ajitahidi hii miaka iliyobakia asiendelee kuruhusu wezi na mafisadi mawaziri anaowapa dhamana ya kusimamia mali za taifa letu badaa yake wanakuwa mstari wa mbele kuzitafuna na akiwa anawaona na hawafanyi kitu baada ya hapo, huo ni udhaifu tosha na kuna mengine mengi zaidi ya hapo yanayothibitisha ni dhaifu sana na ni legelege kwani anajikita kusimamia chama chake na kuwasahau wananchi wake
 
Kama jk ni dhaifu ilikuaje wakaenda ikulu kunywa juisi na kiongozi dhaifu?. Nilidhani bunge litakuwa na busara baada ya Lema kuondolewa.

Walienda Ikulu kumshauri baada ya kujua udhaifu wake, chama chake pamoja wa washabiki wa chama chake. Kama lengo lenu la kumuondoa Lema ndo kuweka nidhamu bungeni basi mmekosea, mlitakiwa muwaondoe kwanza wabakaji akina M.Nch.... na J. Ko...
 
Leo kwa mara ya kwanza katika historia ya bunge la Tanzania, Mbunge wa Ubungo kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo John John Mnyika aliamuriwa kutoka bungeni baada ya kukataa kufuta kauli yake tatanishi ya kuwa Rais Jakaya Kikwete ni Dhaifu...Hii ina maana ya kuwa kauli hii ya Myika itabaki katika hansard za bunge la Tanzania milele na milele.

Je, Mnyika kumuita Rais Kikwete Dhaifu ni sawa??

La Hasha Asilani, Mnyika alikosea sana, tena sana, kwani Rais Kikwete ni mtu (individual) na wala si serikali (executive) ama taasisi ya serikali (institution). Sote twajua moja ya majukumu makuu ya Bunge (Parliament) ni Kuisamamia serikali (Executive). Na kama Bunge ambalo Myika naye yumo ndani limeshindwa kuisimamia serikali (Executive) ambayo Myika anadai anayeiongoza ni mtu dhaifu, Je hilo bunge nalo tuliite Bunge Dhaifu?, na kama ni bunge Dhaifu lililoshindwa kusimamia Serikali Dhaifu, Je hii inamaanisha wabunge wa bunge hilo (wawe wa CCM, CDM, CUF, TLP, NCCR, UDP ama Viti Maalum awe Zitto, Mdee, Nchemba, Lembeli, Mbatia, Mwakyembe n.k) nao ni Dhaifu?.

La Hasha Asilani, kwani na aimini ndani ya bunge hilo tuna wabunge ambao si dhaifu asilani, na kuwaita dhaifu ni kumkosea mungu, kwani wanajitahidi sana kuwasilisha kero na matatizo ya wanajamii, lakini mwisho wa siku wanaangushwa na taasisi Bunge, naamini Rais Kiwete si Dhaifu Asilani ila
anaangushwa na taasisi serikali, ambayo ndani yake kuna mawaziri,manaibu waziri,makatibu wakuu, wanasheria wa serikali,wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya,wakurugenzi wa manispaa,makatibu tawala na wafanya kazi wavivu wa taasisi za serikali.

Kama Rais Kikwete angekuwa Dhaifu basi bajeti ya mwaka huu ingesomwa na Mustafa Mkulo.

He is weak and stupid
 
Jamani hivi ni kweli ukipewa hesabu ya 1+1 Utaazima calculator?JK ni dhaifu na mtoto wa mkulima Pinda ni dhaifu,hili halipingiki na hii ni kutokana na mfumo wa siasa za chama chao cha magamba-Nyinyiemu.siasa zao si za kusaidia wanyonge na wanyonge walioko huko ambao ni washabiki wake nao wana virusi kama viongozi wao.ndio maana kuwajibishana kwao ni impossible,kwani nani hajui kuwa EL alimpasha JK na mwisho wa siku wakakausha ili kuuwa so,je leo kuna mtu anazungumzia kujivua gamba?na je kwa ufisadi ambao JK amekuwa akishiriki na watu wengi ndani ya Nyinyiemu atawezaje kuwawajibisha?na kwa kufanya hivyo hata yeye anategemea akistaafu waje wamlinde watakao mrithi,na ndio maana PM alishawahi kusema mwacheni mzee(Ben) apumnzike.hii ilikuwa kipindi cha sakata la Kiwira.
Kwa hiyo ni kweli kwamba ni dhaifu,kuna factor nyingi mno zinazopelekea awe dhaifu.
Hivi ni wapi mlishawahi kuona ama kusikia mwizi kabomoa mlango wa mbele na mwingine kavunja mlango wa nyuma kisha wakakutana sitting room wakitaka kuiba na mmoja akamwitia mwizi mwenzie?
For sure JK(baba riz) ni dhaifu sana kuliko maraisi wote waliowahi kuongoza TZ
 
ingependeza kama ikitumika hivi"jk ni kilaza nadhani vijana wengi waliopitia vyuo wataelewa vema zaidi neno kilaza!, safi sana mnyika umesema kweli
 
Back
Top Bottom