JamiiForums
JF Official Account
- Nov 9, 2006
- 6,250
- 5,748
John Mnyika na Halima Mdee wanatarajiwa kuongoza maandamano ya amani kesho tarehe 14 Oktoba 2009 kwa ajili ya Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere kuanzia saa 2 asubuhi yatakayoanzia Tanganyika Packers - Kawe na kupitia maeneo aliyofanyia kazi Mwalimu (Mikocheni, Msasani, Kinondoni, Magomeni, Manzese mpaka Ubungo.
Polisi wametoa kibali kwa ajili ya maandamano haya jioni ya leo na hivyo basi John Mnyika anaomba watanzania watakaopata fursa ya kuungana nao wasisite kushirikiana nao hiyo kesho.
Ni taarifa iliyotufikia toka kwa Mnyika (member wa JF) dakika chache zilizopita
Matembezi ya nini,kama mnataka kumuenzi fanyeni kitu cha kueleweka mkazibue mifereji michafu na kusafisha mazingira,faida ya kutembea ni nini?
Matembezi ya nini,kama mnataka kumuenzi fanyeni kitu cha kueleweka mkazibue mifereji michafu na kusafisha mazingira,faida ya kutembea ni nini?
Pointi tupu!
Matembezi ya nini,kama mnataka kumuenzi fanyeni kitu cha kueleweka mkazibue mifereji michafu na kusafisha mazingira,faida ya kutembea ni nini?
....next time gonga kile kitufe kimeandikwa THANKS!
Vipi haya maandamano hakuna mwana JF aliyekua huko? Pasco(Mzee wa live events) vp ndugu yangu hukuwepo huko???
Walewaleeeeeeeeeeee, mambo yale yaleeeeeeeeeee, kusifia waliofeliiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.upuuzi mtupu
I don't care if feel sick, Nyerere was a big failure in the history of our country..we are paying a lot. miaka ya 24 ya KIIMLA na UJAMAA ...stop this nonsense. wasije haribu watoto wetu na upuuzi huu..Nothing new can come out of your head Tumain...We kAZI YAKO NI KASHFA TU, TUMEKUJULIA... YOU DONT FEEL good if you dont make people sick here. sijui una matatizo gani!Nyerere was and is still a mentor, au unamfananisha na nani hapa Tanzania?Stop your baseless coments here, and hate me now!
I don't care if feel sick, Nyerere was a big failure in the history of our country..we are paying a lot. miaka ya 24 ya KIIMLA na UJAMAA ...stop this nonsense. wasije haribu watoto wetu na upuuzi huu..