MNYIKA: Katiba mpya 2025 tumechelewa

MNYIKA: Katiba mpya 2025 tumechelewa

Katibu mkuu wa chama cha demokrasia na maendeleo ametoa kauli Jana kuwa mchakato wa kupata katiba mpya tayari jambo Hilo haliwezekani ! Ameomba kufanyike marekebisho yenye tija kwenye tume ya uchaguzi.

Mimi nachojiuliza MNYIKA anaposema tumechelewa anamaanisha yeye ndiye aliyechelewesha mchakato huo mbona anatamka maneno ya jumlajumla.

Ndugu zangu hivi vyama vya upinzani tunavyoamini tuviangalie kwa undani Zaidi kuna watu wanaamini kwamba hivi vyama vinaweza kuiondoa ccm kwenye box la Kura la hasha Hilo halitokuja kuwezekana Kwani vyama hivi ni vivuli kuwa Tanzania kuna upinzani , upinzani wa Tanzania ni kiini macho kuna watu wananeemeka kwa kuhadaa wananchi kuwa wanakosoa serikali.huku mlango wa nyuma wakila donge Nono la keki ya taifa.
Mnyika ana hoja, Ccm wamefanikiwa kuukwamisha huo mchakato......

kiufupi watawala wa Ccm hawataki katiba mpya.

JokaKuu zitto junior Bams Nguruvi3
 
Kauli hiyo ya judge WARIOBA katika majuzi kipindi Cha DAKIKA 45 ITV.

Uchaguzi wa MITAA unatakiwa usogezwe mbele Hadi 2025 kupunguza gharama. U haguzi ufanyike Kwa mara Moja, Mkt, Diwani, Mbunge,Rais.

Hivyo tuna miaka miwili ambapo kufikia June 2025 inawezekana kukamilisha.

..Nataka kujua alitoa lini[ tarehe + mwezi + mwaka] kauli hiyo.

..Pia hawa wanatofautiana na namna mchakato wa kupata hiyo katiba mpya ùnavyotakiwa kuwa.

..Tunapaswa kuwa wakweli katika kudai Katiba Mpya.

..Ni nani mwenye wajibu wa kuanzisha mchakato? Kwanini hajauanzisha?
 
Katibu mkuu wa chama cha demokrasia na maendeleo ametoa kauli Jana kuwa mchakato wa kupata katiba mpya tayari jambo Hilo haliwezekani ! Ameomba kufanyike marekebisho yenye tija kwenye tume ya uchaguzi.

Mimi nachojiuliza MNYIKA anaposema tumechelewa anamaanisha yeye ndiye aliyechelewesha mchakato huo mbona anatamka maneno ya jumlajumla.

Ndugu zangu hivi vyama vya upinzani tunavyoamini tuviangalie kwa undani Zaidi kuna watu wanaamini kwamba hivi vyama vinaweza kuiondoa ccm kwenye box la Kura la hasha Hilo halitokuja kuwezekana Kwani vyama hivi ni vivuli kuwa Tanzania kuna upinzani , upinzani wa Tanzania ni kiini macho kuna watu wananeemeka kwa kuhadaa wananchi kuwa wanakosoa serikali.huku mlango wa nyuma wakila donge Nono la keki ya taifa.
Asali ya nyuki wadogo
 
Mnyika ana hoja, Ccm wamefanikiwa kuukwamisha huo mchakato......

kiufupi watawala wa Ccm hawataki katiba mpya.

JokaKuu zitto junior Bams Nguruvi3

..Ukiacha mchakato ya kuandika Katiba mpya, kuna zoezi la KURA YA MAONI kukubali au kuikataa.

..Pia kuna kipindi cha mpito kati ya kukubaliana kwa Katiba Mpya, na kuanza rasmi kuitumia.

..Watu wengi wanadhani Katiba Mpya inaandikwa tu, halafu tunaarifiwa kuwa Tanzania imepata Katiba Mpya.

..Mchakato unaweza kuanza, lakini realistically sio rahisi kupata Katiba Mpya kabla ya uchaguzi wa 2025.
 
Mzee Warioba amenukuliwa mara kadhaa akisema muda unatosha.

Kinachokosekana ni dhamira ya viongozi waliopo.

Hili jambo la Katiba mpya halizuiliki, limeruhusiwa,

Mbingu zitaamua mzozo!!

Tusubiri.
👍👏🙏💐🆒
 
..Nataka kujua alitoa lini[ tarehe + mwezi + mwaka] kauli hiyo.

..Pia hawa wanatofautiana na namna mchakato wa kupata hiyo katiba mpya ùnavyotakiwa kuwa.

..Tunapaswa kuwa wakweli katika kudai Katiba Mpya.

..Ni nani mwenye wajibu wa kuanzisha mchakato? Kwanini hajauanzisha?
30 October 2023.
 
..Ukiacha mchakato ya kuandika Katiba mpya, kuna zoezi la KURA YA MAONI kukubali au kuikataa.

..Pia kuna kipindi cha mpito kati ya kukubaliana kwa Katiba Mpya, na kuanza rasmi kuitumia.

..Watu wengi wanadhani Katiba Mpya inaandikwa tu, halafu tunaarifiwa kuwa Tanzania imepata Katiba Mpya.

..Mchakato unaweza kuanza, lakini realistically sio rahisi kupata Katiba Mpya kabla ya uchaguzi wa 2025.
Asante mkuu kwa uchambuzi mfupi unaoeleweka!
 
Hawa ni wahuni tu.
Nilikua naipenda chadema hunielez kitu.
Nilipokuja utambua ukwel wa yalio ndani nilitoa machoz[emoji24] neno siasa achana nalo we ishi maisha yako .
Pole ndugu yangu...ni wavuta bangi tu wale
 
Bora Uchaguzi uchelewe lakini tupate Katiba Mpya.
 
Mnyika ana hoja, Ccm wamefanikiwa kuukwamisha huo mchakato......

kiufupi watawala wa Ccm hawataki katiba mpya.

JokaKuu zitto junior Bams Nguruvi3
Hapana ,Mnyika hana hoja kabisa

Mwaka 2021 kulikuwa na pressure iliyozaa matunda ya kupatikana Katiba mpya.
In fact ilikuwa ni shinikizo Rasimu ya Warioba ianze kufanyiwa kazi na ingewezekana katika miaka 2

Chadema naweza kusema Vijana wao walikuwa active hata pale Mwenyekiti Mbowe alipokuwa magereza.
Tuliwaona Vijana wao wakiongoza jitihada za Katiba mpya hata ndani ya viunga vya Mahakama .

Alipoachiwa Mbowe na kwenda Ikulu kabla ya kukutana na yoyote akafungwa mdomo kwa ' Maridhiano'

Ni Mbowe aliyeeneza dhana ya Maridhiano bila kueleza na nani na kwa makosa gani.
CCM hawakuzungumzia Maridhiano hata kidogo, ni Mbowe tu aliyefungwa mdomo kitapeli , akakubali

Mbowe alionywa na kutahadharishwa hakuna maridhiano na CCM, haijawahi na haitatokea
Mbowe akapoteza mwaka mzima , mwisho wa siku CCM wakapata nafasi waliyoitaka wakamwaga Mbowe Mazima

Kwahiyo suala la muda ni tatizo la Chadema na Mwenyekiti Mbowe.

Nikisikia wanataka marekebisho nawashangaa . Hivi Wabunge walioingia Bungeni kwa wizi wa kura na wengine kubebwa kama wale 19 , wanawezaje kufanya mabadiliko yatakayohakikisha haki!
kwamba wao hawajitaki! Dhana ya marekebisho ni ya kitoto isiyo na chembe ya siasa, ni ujinga tu

Licha ya kuungwa mkono na Umma, CDM imeshindwa kuwa na mikakati ya maana ! ni sawa na ACT wanaoshangilia ule mswada wa kitapeli uliopelekwa mjengo. ACT wanafurahia kabisa kwamba ni ukombozi!
 
Hapana ,Mnyika hana hoja kabisa

Tangu mwaka 2021 kulikuwa na pressure kubwa iliyoanza kuzaa matunda ya kupatikana Katiba mpya.
In fact ilikuwa ni kuweka shinikizo Rasimu ya Warioba ianze kufanyowa kazi na hilo lingewezekana katika miaka 2

Chadema naweza kusema Vijana wao walikuwa active sana hata pale Mwenyekiti Mbowe alipokuwa magereza
Tuliwaona Vijana hao wakiongoza jitihada za Katiba mpya hata ndani ya viunga vya Mahakama .

Alipoachiwa Mbowe na kwenda Ikulu kabla ya kukutana na yoyote akafungwa mdomo kwa kile kilicoitwa Maridhiano.
Ni Mbowe aliyeeneza dhana ya Maridhiano bila kueleza na nani na kwa makosa gani.
Watesi wao hawakuwahi kuzungumzia Maridhiano hata kidogo, ni Mbowe tu aliyefungwa mdomo kiutapeli , akakubali

CCM wakapata muda licha ya Mbowe kuonywa kwamba hakuna maridhiano na CCM, hawajawahi na hatatokea
Mbowe akapoteza mwaka mzima , mwisho wa siku CCM wakapata nafasi waliyoitaka wakamwaga Mbowe Mazima

Kwahiyo suala la muda ni tatizo la Chadema na Mwenyekiti wao.

Nikisikia wanataka marekebisho nawashangaa sana hawa jamaa. Hivi Wabunge walioingia Bungeni kwa wizi wa kura na wengine kubebwa kama wale 19 , wanawezaje kufanya mabadiliko yatakayohakikisha haki! kwamba wao hawajitaki! Huu upuuzi wa Marekebisho ni wa kiwango cha juu sana.

Licha ya kuungwa mkono na Umma, CDM imeshindwa kuwa na mikakati ya maana ! ni sawa na ACT wanaoshangilia ule upuuzi uliopelekwa mjengo.
October 30 katika kipindi Cha DAKIKA 45 ITV,

Mzee Warioba amesema muda unatosha kutupatia Katiba mpya na Tume HURU ya UCHAGUZI kabla ya Uchaguzi ikiwa uchaguzi wa MITAA utasogezwa mbele 2025.

Mimi naamini hapatakuwa na uchaguzi wowote ujao kabla ya Tume huru ya Uchaguzi itokanayo na Rasimu ya Warioba Ile aliyoweka mezani kabla ya uchakachuzi wa kina Chenge.
 
Katibu mkuu wa chama cha demokrasia na maendeleo ametoa kauli Jana kuwa mchakato wa kupata katiba mpya tayari jambo Hilo haliwezekani ! Ameomba kufanyike marekebisho yenye tija kwenye tume ya uchaguzi.

Mimi nachojiuliza MNYIKA anaposema tumechelewa anamaanisha yeye ndiye aliyechelewesha mchakato huo mbona anatamka maneno ya jumlajumla.

Ndugu zangu hivi vyama vya upinzani tunavyoamini tuviangalie kwa undani Zaidi kuna watu wanaamini kwamba hivi vyama vinaweza kuiondoa ccm kwenye box la Kura la hasha Hilo halitokuja kuwezekana Kwani vyama hivi ni vivuli kuwa Tanzania kuna upinzani , upinzani wa Tanzania ni kiini macho kuna watu wananeemeka kwa kuhadaa wananchi kuwa wanakosoa serikali.huku mlango wa nyuma wakila donge Nono la keki ya taifa.
Yaani ndo jinsi ilivyo hapa tunachezeana akili tu ndugu yangu!!!!!
 
Hapana ,Mnyika hana hoja kabisa

Mwaka 2021 kulikuwa na pressure iliyozaa matunda ya kupatikana Katiba mpya.
In fact ilikuwa ni shinikizo Rasimu ya Warioba ianze kufanyiwa kazi na ingewezekana katika miaka 2

Chadema naweza kusema Vijana wao walikuwa active hata pale Mwenyekiti Mbowe alipokuwa magereza.
Tuliwaona Vijana wao wakiongoza jitihada za Katiba mpya hata ndani ya viunga vya Mahakama .

Alipoachiwa Mbowe na kwenda Ikulu kabla ya kukutana na yoyote akafungwa mdomo kwa ' Maridhiano'

Ni Mbowe aliyeeneza dhana ya Maridhiano bila kueleza na nani na kwa makosa gani.
CCM hawakuzungumzia Maridhiano hata kidogo, ni Mbowe tu aliyefungwa mdomo kitapeli , akakubali

Mbowe alionywa na kutahadharishwa hakuna maridhiano na CCM, haijawahi na haitatokea
Mbowe akapoteza mwaka mzima , mwisho wa siku CCM wakapata nafasi waliyoitaka wakamwaga Mbowe Mazima

Kwahiyo suala la muda ni tatizo la Chadema na Mwenyekiti Mbowe.

Nikisikia wanataka marekebisho nawashangaa . Hivi Wabunge walioingia Bungeni kwa wizi wa kura na wengine kubebwa kama wale 19 , wanawezaje kufanya mabadiliko yatakayohakikisha haki!
kwamba wao hawajitaki! Dhana ya marekebisho ni ya kitoto isiyo na chembe ya siasa, ni ujinga tu

Licha ya kuungwa mkono na Umma, CDM imeshindwa kuwa na mikakati ya maana ! ni sawa na ACT wanaoshangilia ule mswada wa kitapeli uliopelekwa mjengo. ACT wanafurahia kabisa kwamba ni ukombozi!
Mkuu wangu Nguruvi3 umezungumza kana kwamba swala la Katiba mpya halikuhusu kabisa, kana kwamba unaishi nchi tofauti na hii hii Tanzania yetu.

Kana kwamba hitaji la katiba mpya na ni swala la Chadema tu. Kana kwamba wao ndio wanaotakiwa kuidai katiba, kana kwamba wao ndio wenye haja na katiba tu.

Sio kweli!

Mkuu kwa kweli umepotosha sana na kutudanganya mchana kweupe. Katiba mpya ni dai na haki ya kila mwananchi na wewe ukiwemo!
 
Hapana ,Mnyika hana hoja kabisa

Mwaka 2021 kulikuwa na pressure iliyozaa matunda ya kupatikana Katiba mpya.
In fact ilikuwa ni shinikizo Rasimu ya Warioba ianze kufanyiwa kazi na ingewezekana katika miaka 2

Chadema naweza kusema Vijana wao walikuwa active hata pale Mwenyekiti Mbowe alipokuwa magereza.
Tuliwaona Vijana wao wakiongoza jitihada za Katiba mpya hata ndani ya viunga vya Mahakama .

Alipoachiwa Mbowe na kwenda Ikulu kabla ya kukutana na yoyote akafungwa mdomo kwa ' Maridhiano'

Ni Mbowe aliyeeneza dhana ya Maridhiano bila kueleza na nani na kwa makosa gani.
CCM hawakuzungumzia Maridhiano hata kidogo, ni Mbowe tu aliyefungwa mdomo kitapeli , akakubali

Mbowe alionywa na kutahadharishwa hakuna maridhiano na CCM, haijawahi na haitatokea
Mbowe akapoteza mwaka mzima , mwisho wa siku CCM wakapata nafasi waliyoitaka wakamwaga Mbowe Mazima

Kwahiyo suala la muda ni tatizo la Chadema na Mwenyekiti Mbowe.

Nikisikia wanataka marekebisho nawashangaa . Hivi Wabunge walioingia Bungeni kwa wizi wa kura na wengine kubebwa kama wale 19 , wanawezaje kufanya mabadiliko yatakayohakikisha haki!
kwamba wao hawajitaki! Dhana ya marekebisho ni ya kitoto isiyo na chembe ya siasa, ni ujinga tu

Licha ya kuungwa mkono na Umma, CDM imeshindwa kuwa na mikakati ya maana ! ni sawa na ACT wanaoshangilia ule mswada wa kitapeli uliopelekwa mjengo. ACT wanafurahia kabisa kwamba ni ukombozi!
Ukweli mchungu yaani wengi wetu tunaiamini Chadema kama chama kikuu cha upinzani ila kuna vitu havieleweki wanavifanya daaaah!!!!
 
..tatizo mmewabwagia Cdm suala la Katiba Mpya mnasubiri wawafanyie.

..Ccm ina-behave vibaya kwasababu Watz hatujaamka.

..Watz wakiwaunga mkono kwa dhati wapinzani Ccm itajirekebisha.

..Tujiulize nchi ambazo zilidai mabadiliko na Katiba Mpya na wakafanikiwa, wananchi wake wali-behave kama tunavyo-behave Watanzania?
 
Back
Top Bottom