La Biblicana
JF-Expert Member
- Jan 1, 2013
- 556
- 344
Basi asingetoa ahadi au asigombea ubunge ili ampishe mgombea wa CCM akiongee KiCCM maji yapatikane.
nyie toka nchi inapata uhuru mmefanya nin jimbo ubungo,...Basi asingetoa ahadi au asigombea ubunge ili ampishe mgombea wa CCM akiongee KiCCM maji yapatikane.
Umeweka mifano ya wabunge wenye wasi wasi na majimbo yao kiasi wako radhi kutumia fedha zao mifukoni kuwahonga watu waliokata tamaa ili wawape kura kwa kuwa waliwakopesha.
Labda nikuulize swali: Unadhani ni nani mwenye jukumu la kukopesha wajasiriamali? Mbunge au Financial Institutions?
Wewe niambie kwa akili yako unaonaje: Wabunge watoe 'hongo' za mikopo kwa wananchi au tukazania kwenye uboreshaji wa sera ili kila mwananchi akopesheke kwenye taasisi za fedha?
Kama ulivyosema, unaishi Dar. Sasa acha nikukumbushe kuwa UNAISHI DAR na SIO UBUNGO. Ubungo inakaliwa na watu wasomi wasiodanganyika na senti na mikopo isiyo na tija. Tangu waanze kukopeshwa hao wanaokopeshwa ni miaka, lkn maisha yao yako vile vile sbb ya sera mbovu za CCM. Sasa Mnyika anapoongea bungeni vilaza kama wewe unamuita 'muongeaji'.
Naomba unikumbushe tathmini ya 'the so called mabilioni ya Kikwete'. Kichefuchefu kitupu, na bado mpo mnaoamini kuwa mbunge akija kukukopesha sh 200,000 basi maisha yako yataboreka. Mkopo ukiupata huku sera za biashara na uchumi ni mbovu hamna kitu mdogo wangu.
Kwa faida yako na wenzio, mbunge ni mwakilishi wetu na sio mhamasisha michango. Mbunge anatusaidie mikwamo inayohusisha propaganda za kisiasa na sio fedha za mfukoni mwake. Akili zako zimekaa ki -CUF CUF nikimaanisha za KIKABWELA
Ukiandika kipuuzi namna hii (bila kituo wala herufi kubwa) sentensi haieleweki. Kwa hiyo ndio unasemaje sijakuelewa
1. Mnyika katoa fedha za barabara kubwa? au
2. Mnyika hajatoa fedha za barabara kubwa?
Inaonekana umebadilishana ubongo na chizi na huyo chizi alipata wokovu wake siku alipokukabidhi hii dhahma iliyoko kichwani. Unaongea upuuzi tu hapa badala ya kujibu hoja zangu:
1. Barabara za Manispaa zinajengwa kwa bajeti za manispaa ambazo zinasimamiwa na baraza la madiwani au mbunge?
2. Unajua maana ya MANISPAA?
akili ndogo kama sisimizi kwa kuwa ni mbunge wa CDM hata akikuambia ukamsafishie nyumba yake utakwenda
Naomba kuuliza kwa watu wenye mapenzi mema na CHADEMA hivi Mnyika toka kawa mbunge ameleta maendeleo gan jimboni kwake zaidi ya kelele anazopiga bungeni?
Pia ushauri mdogo tu kwa CHADEMA muishio Ubungo jimbo litabaki nyuma kama hamtombadilisha uchaguzi ujao,kama hampendi CCM mpeni CHADEMA mwingine.
Ulitakiwa kwanza useme kazi za mbunge ni zipi, kisheria/kiutawala, ndipo uulize utekelezaji wa mbunge huyo (Mnyika) ukoje, kulingana na job discripition inayosema.
Umeweka mifano ya wabunge wenye wasi wasi na majimbo yao kiasi wako radhi kutumia fedha zao mifukoni kuwahonga watu waliokata tamaa ili wawape kura kwa kuwa waliwakopesha.
Labda nikuulize swali: Unadhani ni nani mwenye jukumu la kukopesha wajasiriamali? Mbunge au Financial Institutions?
Wewe niambie kwa akili yako unaonaje: Wabunge watoe 'hongo' za mikopo kwa wananchi au tukazania kwenye uboreshaji wa sera ili kila mwananchi akopesheke kwenye taasisi za fedha?
Kama ulivyosema, unaishi Dar. Sasa acha nikukumbushe kuwa UNAISHI DAR na SIO UBUNGO. Ubungo inakaliwa na watu wasomi wasiodanganyika na senti na mikopo isiyo na tija. Tangu waanze kukopeshwa hao wanaokopeshwa ni miaka, lkn maisha yao yako vile vile sbb ya sera mbovu za CCM. Sasa Mnyika anapoongea bungeni vilaza kama wewe unamuita 'muongeaji'.
Naomba unikumbushe tathmini ya 'the so called mabilioni ya Kikwete'. Kichefuchefu kitupu, na bado mpo mnaoamini kuwa mbunge akija kukukopesha sh 200,000 basi maisha yako yataboreka. Mkopo ukiupata huku sera za biashara na uchumi ni mbovu hamna kitu mdogo wangu.
Kwa faida yako na wenzio, mbunge ni mwakilishi wetu na sio mhamasisha michango. Mbunge anatusaidie mikwamo inayohusisha propaganda za kisiasa na sio fedha za mfukoni mwake. Akili zako zimekaa ki -CUF CUF nikimaanisha za KIKABWELA
SafiMbunge kama mbunge hawezi kuleta maendeleao kwenye jimbo kwani hana chanzo cha mapato,bali serikali ndiyo yenye dhamana ya kuleta maendeleo na siyo ubungo tu bali Tanzania yote.Anachofanya mbunge kwa nafasi yake ni kuhakikisha maendeleo yanaletwa kwenye jimbo husika kwa kufuatilia watendaji ambao ni waajiriwa wa serikali na kuwasemea wanachi wajimbo lake bungeni.Anachfanya Myika John kingefanywa na wabunge wote yaani hata wa Chama Tawala leo Tanzania yetu ingekuwa Dubai ya pili.
Kama nimekosea naomba kurekebishwa.
Wewe umeleta Maendeleo gani?Naomba kuuliza kwa watu wenye mapenzi mema na CHADEMA hivi Mnyika toka kawa mbunge ameleta maendeleo gan jimboni kwake zaidi ya kelele anazopiga bungeni?
Pia ushauri mdogo tu kwa CHADEMA muishio Ubungo jimbo litabaki nyuma kama hamtombadilisha uchaguzi ujao,kama hampendi CCM mpeni CHADEMA mwingine.