unapojibu thread usiwe kama umelala kitandani na baba jack jaribu kufikiri ujenzi wa barabara ya Morogoro Mnyika hausiki hata kidogo hiyo ni barabara kuu au trunk road si barabara ya jimbo au manispaawewe ulitaka alete maendeleo yapi?atumie pesa yake ya mfukoni ndo uone kama kaleta maendeleo?acha kufikilia kitoto wewe.mbona hilo barabara haijajengwa ilala ai temeke,hayo majimbo hayana uhitaji au serikali haion?
Wewe kwa upeo unajua Mnyika anatoa pesa mfukoni ili watu wachote maji, wanunue vitabu, wajenge madarasa ndo unajua wewe hivyo?
bora hata mie nimelala na baba jack kuliko wewe unaeongea kitu bila kutumia akili.kwa hiyo hiyo barabara ndo ya muhimu kuliko zingine zote?kweli kuna vilaza nchi hii.fikir kabla ya kujianika utupu wa kichwa jukwaani.au ulitaka akujengee nyumba ndo uone maendeleo???unapojibu thread usiwe kama umelala kitandani na baba jack jaribu kufikiri ujenzi wa barabara ya Morogoro Mnyika hausiki hata kidogo hiyo ni barabara kuu au trunk road si barabara ya jimbo au manispaa
Maendeleo mengine jaman ajafanya kama ujenz wa barabara ni mipango endelevu ya serikari yetu bwana.
Ila nashukuru kwa maelezo yenu mana mi sijuagi analofanya ndo mana niliomba msaada wa kupata maendeleo alioyaleta ila still hakuna la maana
unapojibu thread usiwe kama umelala kitandani na baba jack jaribu kufikiri ujenzi wa barabara ya Morogoro Mnyika hausiki hata kidogo hiyo ni barabara kuu au trunk road si barabara ya jimbo au manispaa
Kumbe wewe unajua yapi na anayofanya mbunge yupi hasa kma mnyika humuoni?labda tuanzie hapo tu!Maendeleo mengine jaman ajafanya kama ujenz wa barabara ni mipango endelevu ya serikari yetu bwana.
Ila nashukuru kwa maelezo yenu mana mi sijuagi analofanya ndo mana niliomba msaada wa kupata maendeleo alioyaleta ila still hakuna la maana
kwani mbunge wa kinondoni kaleta maendeleo gan? Na unafahamu wajibu wa mbunge wewe?Maendeleo mengine jaman ajafanya kama ujenz wa barabara ni mipango endelevu ya serikari yetu bwana.
Ila nashukuru kwa maelezo yenu mana mi sijuagi analofanya ndo mana niliomba msaada wa kupata maendeleo alioyaleta ila still hakuna la maana
daraja la malagarasi kigoma, barabara za rami mkoa wa Tabora amejega Kikwete????Maendeleo mengine jaman ajafanya kama ujenz wa barabara ni mipango endelevu ya serikari yetu bwana.
Ila nashukuru kwa maelezo yenu mana mi sijuagi analofanya ndo mana niliomba msaada wa kupata maendeleo alioyaleta ila still hakuna la maana
Ahaaaa! Kwa hiyo barabara kuu zinajengwa na serikali, ila barabara za jimbo na manispaa zinajengwa na Mnyika. Sasa nimeelewa. Nisichoelewa tu ni wapi Mnyika anatakiwa akchote fedha za kujengea barabara za manispaa.
TANGAZO KWA UMMA
Ndugu wananchi, kuanzia leo mnapaswa kuelewa kuwa Hon. John Mnyika MP ni Manispaa. Kwa hiyo Ukitaka kibali au Leseni ya biashara, usiende kwenye ofisi za manispaa ya Kinondoni, uende nyumbani kwa Mnyika. Yeye (Mnyika) ndio anawajibika kujenga barabara za manispaa (kwa kuwa yeye ni manispaa) na kupeleka mahitaji ya muhimu nyumbani kwa iron2012.
Signed iron2012, head stupid
13.02.2013
CC: Hon. La Biblicana
Mada ni Mnyika na Ubungo usijitoe fahamu wakati ulipo log in JF ulikuwa timamu.kwani mbunge wa kinondoni kaleta maendeleo gan? Na unafahamu wajibu wa mbunge wewe?
Naomba kuuliza kwa watu wenye mapenzi mema na CHADEMA hivi Mnyika toka kawa mbunge ameleta maendeleo gan jimboni kwake zaidi ya kelele anazopiga bungeni?
Pia ushauri mdogo tu kwa CHADEMA muishio Ubungo jimbo litabaki nyuma kama hamtombadilisha uchaguzi ujao,kama hampendi CCM mpeni CHADEMA mwingine.
japo swali limeulizwa likiwa na vijembe, lakini lina mantiki. mh sugu kuna mambo ameyafanya mbeya. muh msigwa amekopesha vikundi vya vijana pale iringa na sasa hivi anasimamia kampeni ya kusafisha mji wa iringa. wenye macho tumeona hadi picha. akina mwigulu nchemba, amos makala, catherine magige wanayo yafanya Mungu shahidi. wanasaidia jamii sana. nimetoa mifano hadi ya wabunge wa ccm kwa sababu mimi napenda haki.
naishi dar lakini sijaona jambo la kimaendeleo alilolifanya mnyika. ni muongeyaji mzuri bungeni lakini akumbuke kuwa wananchi ukirudi kuomba wanauliza mwaswali mengi. "umetufanyia nini katika kipindi cha miaka mitano?" akisema nilipeleka hoja ya maji ikakataliwa hawatomuelewa. amehamasisha wanachi kuchangishana angalau kujenga daraja dogo kule bonyokwa!?
muh mnyika nakukubali. wewe ni jembe. hamasisha maendeleo madogomadogo jimboni kwako. iga mfano wa wabunge niliyo wataja hapo juu.
Mnyika aliombwa maji kama kero kuu kwa wananchi wa jimbo la Ubungo badala yake ameleta vipeperushi za M4C.Sasa atajua kuwa watu hawana muda wa kupoteza 2015
wew utakuwa chichiman,.wamekufanya dodok.,hii dar mbunge ni mnyika tu,mbona hamletag thread za wabunge wa ilala,temeke,ukonga,segerea,kigambon...nyie mnawashwa...kwa taarifa yako uku kimara tunamkubal mnyika kuliko kidampa yoyote.....Maendeleo mengine jaman ajafanya kama ujenz wa barabara ni mipango endelevu ya serikari yetu bwana.
Ila nashukuru kwa maelezo yenu mana mi sijuagi analofanya ndo mana niliomba msaada wa kupata maendeleo alioyaleta ila still hakuna la maana
Basi asingetoa ahadi au asigombea ubunge ili ampishe mgombea wa CCM akiongee KiCCM maji yapatikane.Kweli wewe ni MINGOI (mnenguaji), kwa hiyo ilikuwa akayalete na gari lake Ruvu, eti?
Haya ni mambo ya serikali ya CCM, acha ujinga wewe. Mnyika hana maji nyumbani kwake
ukiwa na akili ndogo kama panya unaweza andika kama ulichoandika jaribu kuuwezesha ubongo wako ufanye kazi kwa upeo wako hata hiyo barabara kuu myika anatoa pesa yake mfukoni acha kuwa na akili ya kitoto