Mwenye akili hujibiwa kwa akili, mpumbavu kwa upumbav wakeVivios kauliza kwania njema ila alivyojibiwa sasa...eeh! Hii ndio JF
Toka kwa MrArsenal
wewe ulitaka alete maendeleo yapi?atumie pesa yake ya mfukoni ndo uone kama kaleta maendeleo?acha kufikilia kitoto wewe.mbona hilo barabara haijajengwa ilala ai temeke,hayo majimbo hayana uhitaji au serikali haion?kwa upeo wako hayo kayafanya mnyika au ni serikali? Mpango wa ujenzi ulianza lini ni swali unalopaswa kujiuliza
....ameleta maendeleo gan jimboni kwake zaid ya kelele anazopiga bungeni?
Pia ushauri mdogo tu kwa chadema muishio ubungo jimbo litabaki nyuma kama hamtombadilisha uchaguz ujao.kama hampend ccm mpeni chadema mwingine
bwahahahahahaha aiseee mtemvu anawaozesha vijaa na kwa waarabu umangani bwahahhaMtemvu anataka awapeleke vijana wa Temeke wakawaburudishe waarabu huko Arabuni
bwahahahahahaha aiseee mtemvu anawaozesha vijaa na kwa waarabu umangani bwahahha
Hayo Maendeleo huyaoni? Morogoro Road inajengwa, Kimara kunajengwa daraja kubwa kuliko la Manzese huoni tu?
Mkuu najua vipo vyuo vya kufunza lugha ya kuwasiliana na mabubu na viziwi, lkn hii ya kwako ya kuwasiliana na wapumbavu umejifunza wapi?
Kuelewana na mtu mpumbavu kama huyu kwangu ingekuwa kazi sana, lkn kwa jibu lako naamini sasa na yeye ameyaona maendeleo ya Mnyika Ubungo. Tafadhali tu mbavu zangu
Naomba kuuliza kwa watu wenye mapenzi mema na CHADEMA hivi Mnyika toka kawa mbunge ameleta maendeleo gan jimboni kwake zaidi ya kelele anazopiga bungeni?
Pia ushauri mdogo tu kwa CHADEMA muishio Ubungo jimbo litabaki nyuma kama hamtombadilisha uchaguzi ujao,kama hampendi CCM mpeni CHADEMA mwingine.
:becky::becky::becky::becky: mkuu La Biblicana umenivunja mbavu, watu kama hawa wasio jua kazi ya mbunge ni nini katika eneo husika analo ishi inabidi umpe mifano ya wazi inayo onekana kabisa kwenye eneo analo ishi
Vivios kauliza kwania njema ila alivyojibiwa sasa...eeh! Hii ndio JF
Toka kwa MrArsenal
sasa kama haina mahusiano kwanini haikutengenezwa kabla ya mnyika kuwa mbunge ikiwa miradi mingine ilikwama tangu mwaka 2004, au serikali ilikua inasubili hadi mnyika awe mbunge ndio watekeleze?Tehetehe hukimu inakaribia... 2015: Wabunge kupenda kujiingiza kwenye miradi ya kitaifa ati barabara ya mabasi yaendayo kasi, ati maji.... miradi hii haina uhusiano wowote na mbunge yeyote wa Dar...
Hayo Maendeleo huyaoni? Morogoro Road inajengwa, Kimara kunajengwa daraja kubwa kuliko la Manzese huoni tu?
Mungu aihurumie tu hii nchi, kama mtu mwenye uwezo wa ku - access web ndio ana mawazo haya, tumtarajie nini aliyoko Igunga huko vijijini kabisa? Ndio maana kuna wakati madikteta hutakiwa kunyoosha mambo. Mtu juha kama huyu unamweleweshaje mpaka akuelewe?
Mkuu najua vipo vyuo vya kufunza lugha ya kuwasiliana na mabubu na viziwi, lkn hii ya kwako ya kuwasiliana na wapumbavu umejifunza wapi?
Kuelewana na mtu mpumbavu kama huyu kwangu ingekuwa kazi sana, lkn kwa jibu lako naamini sasa na yeye ameyaona maendeleo ya Mnyika Ubungo. Tafadhali tu mbavu zangu
Mi Nadhani wewe rudi tena darasani, maana hujaelimika na hujui Dunia Kama ni ya duara. Kamuulize Mnyika mwenyewe akutajie maendeleo aliyotuletea Ubungo uone Kama hayo uliyoyataja yamo
Maendeleo mengine jaman ajafanya kama ujenz wa barabara ni mipango endelevu ya serikari yetu bwana.
Ila nashukuru kwa maelezo yenu mana mi sijuagi analofanya ndo mana niliomba msaada wa kupata maendeleo alioyaleta ila still hakuna la maana