Kuwa mwelewa ww, hizi ni kanuni za bunge ! alichoambiwa aweke kwa maandishi ndivyo kanuni inavyosema na yeye ameisoma. Nimeshangazwa sana na upeo wa mnyika wa kuelewa, ni mdogo sana sana !
Kweli wajinga ndio wali wao, na sidhani km mtakwepa juu ya hilo, mtu anakwenda tofauti na kanuni leo mnasema shule ipo. Hiyo ni shule au ushamba na ujuha

Unakijua alichotaka kusema?Kwanini alizuiwa?

Alizuiwa kwa sababu kanuni aliyosoma haimruhusu yeye kusema, kanuni inasema kwa maandishi yeye ulitaka aruhusiwe kusema nn sasa ? kuweni waelewa nyie magwanda acheni kuwa mchicha mwiba
Kwani hapo Naibu Spika amekosea nini.
Mimi naona amempa sasa nafasi nzuri sana kueleza hoja yake kwa kituo tena akishauriana na wenzake namna ya kuitoa mchicha.
we **** kweli,alichoomba mnyika ni mwongozo naibu spika alitakiwa hapohapo ampe huo mwongozo kwamba anatakiwa alete kwa maandishi.Nimeanza kuamini kweli wabunge wa CDM ni mambumbu wa kanuni. Kanuni inasema kwa maandishi, ww unataka kusema hapo hapo. Na ndio maana Mnyika ameambiwa awaulize ma seneta wa bunge ( ambao wana muda mrefu bungeni) wamfundishe kanuni azijue huyu kijana
we **** kweli,alichoomba mnyika ni mwongozo naibu spika alitakiwa hapohapo ampe huo mwongozo kwamba anatakiwa alete kwa maandishi.
sasa yeye akachachawa na kuanzakubabaika kama kawaida ya magamba.
kwa nini aje kutoa mwongozo mwisho?
kwani alichoomba mnyika ni nini?

Wewe wala naibu spika hamjui na hamtajua alichotaka kusema,kanuni imesomwa wewe unafikiri mbunge makini kama Mnyika hakuielewa?
Hoja/Maelezo/ushahidi wa kimaandishi unatakiwa usomwe kwanza mbele ya kikao cha wabunge wote alafu ndio upelekwe kwa spika. Vinginevyo ni sawa na mchezo wa kutwanga maji
Kwakweli nimetizama vizuri jinsi naibu spika alivyokuwa anatumia ubabe uliopitiliza.yaani inachefua kwakweli kuona bunge limekuwa kama kikao cha juuu cha chama cha mapinduzi chenye hulka ya kudumu kwa fikra za mwenyekiti na ukitofautiana unafukuzwa.
kama wabunge wanaakili za kutosha wasapoti hoja ya mnyika ije bungeni ili serikali ivunjwe maana sijaiona kazi ya Pinda hadi leo

acha upumbavu wewe w/mkuu mwenyewe amekubali kuwa kuna kitu kama hiko kinaendelea,fuatilia vyombo vya habari siyo unakurupuka tu hata chai hujanywa na kuleta upupu wako hapa.watu wanajadili vitu vya msingi unaleta upupu wako.
Kwani hapo Naibu Spika amekosea nini.
Mimi naona amempa sasa nafasi nzuri sana kueleza hoja yake kwa kituo tena akishauriana na wenzake namna ya kuitoa mchicha.