PreGE2025 Mnyika ashangazwa na kitendo cha Jaji kutokufika mahakamani, akiita kitendo hiko ni muendelezo wa Jaji kutokutenda haki

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Wont be the same

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
1,564
Reaction score
2,483
Kaimu Katibu Mkuu wa CHADEMA Taifa, John Mnyika ameonyesha masikitiko yake juu ya Jaji anayeendesha kesi yao kutofika Mahakamani na kesi hiyo imepelekwa mbele hadi Julai 10, 2025

Mnyika ameeleza kuwa tayari wameshaandika barua ya kuonyesha kutokuwa na imani na Jaji huyo na kutaka aondolewe na shauri hilo apangiwe Jaji mwingine.

Soma pia: Pre GE2025 - Kesi iliyofunguliwa na Saidi Issa na wenzake wawili (2) dhidi ya CHADEMA yaahirishwa. Jaji ashindwa kufika mahakamani
 
JAJI ATAONDOLEWA NA MTAAMBIWA MSUBIRI KUPANGIWA JAJI MWINGIONE BAADA YA MWEZI MMOJA NAYE ATAANZA KUSEMA ANAISOMA KWANZA KESI ILIVYO NAYE ATAAHIRISHA KWA MWEZI MMOJA KESI ITAANZA KUSIKILIZWA MWEZI WA KUMI KATKATI UAMUZI UTATOLEWA JANUARY MWISHONI
 
Upo sahihi, hizi ni mahakama ni aibu sn kuna mahakama za hovyo hivi
 
Kaimu Katibu Mkuu wa CHADEMA Taifa, John Mnyika ameonyesha masikitiko yake juu ya Jaji anayeendesha kesi yao kutofika Mahakamani na kesi hiyo imepelekwa mbele hadi Julai 10, 2025

Mnyika ameeleza kuwa tayari wameshaandika barua ya kuonyesha kutokuwa na imani na Jaji huyo na kutaka aondolewe na shauri hilo apangiwe Jaji mwingine.
View attachment 3381235
Soma pia: Pre GE2025 - Kesi iliyofunguliwa na Saidi Issa na wenzake wawili (2) dhidi ya CHADEMA yaahirishwa. Jaji ashindwa kufika mahakamani
Mnyika ameshakuwa mpumbavu kiasi hicho? Jaji ni binadamu atakosaje udhuru? Km anaumwa je? Ndio maana mnaitwa nyumbu, zero brain. Shenzy kabisa nyie
 
The court killed my mother,Leo nimemkumbuka my late mother who died 10 years ago because of injustice. Despite the high court to decide on her favour,there were delaying tactics beyond the measure! Mpaka anafariki hakuwahi kupewa haki yake, yani alipata msongo wa mawazo na kufariki dunia.kesi aliendeshwa kwa miaka 15.from 20000 to 2015 alipofariki! Hii ndio Tanzania!
 
JAJI ATAONDOLEWA NA MTAAMBIWA MSUBIRI KUPANGIWA JAJI MWINGIONE BAADA YA MWEZI MMOJA NAYE ATAANZA KUSEMA ANAISOMA KWANZA KESI ILIVYO NAYE ATAAHIRISHA KWA MWEZI MMOJA KESI ITAANZA KUSIKILIZWA MWEZI WA KUMI KATKATI UAMUZI UTATOLEWA JANUARY MWISHONI
Majaji wachache ibabidi kuangalia Jaji yupi atakuwa na nafasi lini .Sio kuwa kuna majaji kama spare tyre wakaa bure wasubiri itokee jaji fulani kakataliwa ashike yeye

Pili hata ungekuwa wewe Jaji ukipewa kesi iliyoachwa na mwingine utaanza tu kuisikiliza bila kupata muda wa kuisoma kwanza?
 
Back
Top Bottom